Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Kimbembe ni pale utakapokwenda main office. Siku hizi wanachanganya na unga wa muhogo (budaga) ili kuulainisha kidogoUgari wa bukura



Kimbembe ni pale utakapokwenda main office. Siku hizi wanachanganya na unga wa muhogo (budaga) ili kuulainisha kidogoUgari wa bukura



Karibu sana!Mambo yangu hayo![]()
![]()
Hiyo hiyoKwani hapo kinyerezi iliyo jirana segerea au nyingine
Ni kweli msukumaNi kweli Shunie. Vitu vingine ni vya kuacha kama vilivyo. Hata mimi hii kitu sitakaa niiguse. Kuna imani katika ukoo wetu kuwa ukiigusa tu unaehuka; na walioigusa wengi wao hawako sawa!![]()
Chakula halisi cha mwanaume wa mkoani hicho...Huo ugali utafikiri wa na ugomvi na njaa
Kweli huyo atakuwa mwenyeji wa tabataHiyo hiyo
Kweli hata mi mkulima nakula lakini hicho hapanaChakula halisi cha mwanaume wa mkoani hicho...
i pray for u mama mchuchuHahahaa leo naumwa mwenzio niko hospital nimepumzishwa acha tu
all the best and get better soon 
main office ni niniKimbembe ni pale utakapokwenda main office. Siku hizi wanachanganya na unga wa muhogo (budaga) ili kuulainisha kidogo![]()
SanteeKaribu sana!
Abeeh tulia humu nikutafutie shemeji yangu akuliwaze na yaliyopitaMakapuku
TupooooMakapuku
Dada hii kazi umeanza liniAbeeh tulia humu nikutafutie shemeji yangu akuliwaze na yaliyopita
hapana kaka sijaanza ila nataka nimtaftie faraja mana Daby kamuacha njia panda mtto wa watu kaenda kwa jimamaDada hii kazi umeanza lini
nzuri kwema huko captain nyageiHabari yako dingimtoto
Pole dada Mungu atakuponyaHahahaa leo naumwa mwenzio niko hospital nimepumzishwa acha tu
bado wana kigundu cha moesKwanini unaona man u atakula nyingi

Pole zake mwambie nafasi iliyopo ni kufanya ibada tu mapenzi hayana maana hata kidogohapana kaka sijaanza ila nataka nimtaftie faraja mana Daby kamuacha njia panda mtto wa watu kaenda kwa jimama
Sawa tusubiri muda ukifika majibu yataonekanabado wana kigundu cha moes
![]()
![]()
![]()