Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Usimtaje dadamm naongea yaliyojiri simgombanishi mtu
Usimtaje dadamm naongea yaliyojiri simgombanishi mtu
ndo maaana nakukubaliiii kiongoziii..ebu semaaUmepata wa kuwasingizia au niseme
Usafiri ninao, kampani ipo tatizo ni niniHakuna kitu kama hiko mtu wa kibaha aje kula bata kinyerezi mpk sa 8 za usiku mm mwenyewe nipo dar huko kinyerezi siwezi kwenda
mmmmmhmlinzi yupo anafanya kazi vizuri sana hata jana tulikua nae
tetra na shululu hawana shida sema tu jana waliamua tu kukuchokoza
Sawa kufika ubungo ni km ngap?Nipo kibaha mkuu, ila kwa sasa dar na kibaha ni kitu kimoja, ni mipaka tu lakini ziliishaungana
shemela hamna mtoto humu ujueUsafiri ninao, kampani ipo tatizo ni nini
AiseeeNipo kibaha mkuu, ila kwa sasa dar na kibaha ni kitu kimoja, ni mipaka tu lakini ziliishaungana
Mkuu mi sisemi nataka aseme yeye asipo sema mwambie mndali ata sema maana msema kweli mpenzi wa mungundo maaana nakukubaliiii kiongoziii..ebu semaa
Usimsikilize shunieKwani hapo kinyerezi iliyo jirana segerea au nyingine
Mlinzi ndiyo tatizoebuu nipe ripoti wewe mwenyewe nani kakusumbuaa with vivid examples
♂️
♂️
♂️
Tatizo ni namna gani ya kutumia, wengi wanajua kuvuta tuNi kweli Shunie. Vitu vingine ni vya kuacha kama vilivyo. Hata mimi hii kitu sitakaa niiguse. Kuna imani katika ukoo wetu kuwa ukiigusa tu unaehuka; na walioigusa wengi wao hawako sawa!![]()
Sasa nimsikilize nan wakati shunie ni dadanguUsimsikilize shunie
Pole mama mchungaji, Mungu akujalie upone harakaHahahaa leo naumwa mwenzio niko hospital nimepumzishwa acha tu
We dada mambo ya mpira yatakuua kwa preshahawa lyon bado kidogo watufunge dk ya 3 hii
Kimbembe ni pale utakapokwenda main office. Siku hizi wanachanganya na unga wa muhogo (budaga) ili kuulainisha kidogo![]()

mmmmmmh kutakuwa na namnaMkuu mi sisemi nataka aseme yeye asipo sema mwambie mndali ata sema maana msema kweli mpenzi wa mungu
Niambie dada kama kweliAiseee
Nini tena jamaanmmmmmh
Kwa nini huweziKweli hata mi mkulima nakula lakini hicho hapana