shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Mndali, angalia wazee wa makete,tarime na meru linganisha na maeneo kama singida na morogoro uione tofauti yaoMkuu hebu fafanua kidogo uzuri wa bangi na ubaya wa sigara
Mndali, angalia wazee wa makete,tarime na meru linganisha na maeneo kama singida na morogoro uione tofauti yaoMkuu hebu fafanua kidogo uzuri wa bangi na ubaya wa sigara
Tutaonana wapi kijanaMchana mwema..
Tutaonana baadae.
Kibaha inanyesha mkuuPole mkuu si ulisema uko kibaha mkoa wa pwani au unashinda dar jioni ndo unarudi kibaha
Sawa ila Malawi ndo inauzwa kama sigara huku bongo ni kama sumuMndali, angalia wazee wa makete,tarime na meru linganisha na maeneo kama singida na morogoro uione tofauti yao
Mm kwangu hiyo kitu ni big noNi dawa shemela
Ugari wa bukuraKoromije. Kwa raha zetuuuu. Shunie + Lee - Shedede mnakaribishwa sana!![]()
Mambo yangu hayoKoromije. Kwa raha zetuuuu. Shunie + Lee - Shedede mnakaribishwa sana!![]()

Hapahapa..Tutaonana wapi kijana
Dada shunie kaniambia uko darKibaha inanyesha mkuu
WeekendMh mpk sa 8 za usiku
Niagizie tu mkuuNilitaka nimwagize hapo kibaha
Hakuna kitu kama hiko mtu wa kibaha aje kula bata kinyerezi mpk sa 8 za usiku mm mwenyewe nipo dar huko kinyerezi siwezi kwendaWeekend
Hapo itakuwa kwenye harusiWametishaaaaa....![]()
![]()
Huo ugali utafikiri wa na ugomvi na njaaUgari wa bukura
Mara useme usiku ndo mda wa migebuka saizi unasema mda wa ziwani lipi jibu sahihiHapahapa..
Muda wa kuingia Ziwani kutafuta migebuka.
Nakuagizaje mtu was dar ufuate kitu km 50 kibaha kongoweNiagizie tu mkuu
Kwani hapo kinyerezi iliyo jirana segerea au nyingineHakuna kitu kama hiko mtu wa kibaha aje kula bata kinyerezi mpk sa 8 za usiku mm mwenyewe nipo dar huko kinyerezi siwezi kwenda
Mm kwangu hiyo kitu ni big no
Hahahaa leo naumwa mwenzio niko hospital nimepumzishwa acha tuMama mchuchu jamaan wanakuharibu ujue wakuwekee gospel sio mambo ya viuno viuno