Boss unakula au unakunywa?Leo sijagusa bia...!
Nakula wine tuu mkuu
Tafuta post za kuanzia jana saa 6 usiku ujioneetuambizanee mkuuu
utanifanya nirudi mwanzoni kabisa 160k ....
Nakumbuka tulikuwa tunawawinda huko makao makuu kabla ya El ninoDuh, uliweza kumkamata Jorowe wewe? Labda ulikamata 'jijii' au dodolima.
ulikuwa unatumia muda mwingi kusaka ndege shuleni eeh
Unanikumbusha Mambo ya Coordination na uchafu wake wote..Link ni kiunganishi
mmmmh wewe mambo mengine tupotezee ...usiku mnene tena?Tafuta post za kuanzia jana saa 6 usiku ujionee
Karibu katibumkuuu heshimaa kwakooo kiongoziiiii....nko poaa full kuwamisss
pamoja mwekahazina ....Karibu katibu
Hiyo $100m itasaidia nini ikiwa wahanga hawatopona?
Shukrani mkuu shululu kwa magazetiMpaka hapo sina la ziada kutoka magazetini kwa udhamini mnono wa Dr Lee nawatakieni jumapili njema
Sawa sawa mkuuya tareh 5
japo sikuwepo ijmaaa ila taarifa zimetufikia...usiku nimepata kureview hii kitu spurs anatandikwa na wagonga nyundooo...makofii kwaoo
Mack Noble, Kouyate na Lanzini ni kama walikuwa wamepokea fedha kutoka Chelsea vile, waliwaweka chini ya ulinzi Wanyama, dier na Dembele. Ukishazima taa za hawa jamaa wa katikati ya uwanja basi na zile taa nyingine zinajizima zenyewe...... Wakaziua njia za mipira inayokwenda kwa Delle Alli moja kwa moja, wakazima mipango ya Spurs kuanzia kwa ventoghen mpaka kwa Walker. Hakukua na zile movement za hatari ztulizozizoea kutoka kwa Son, Kane na Delle wakati mpira ukiwa miguuni mwa Ericksen.
Nyundo moja tu Wanyama chali..... Huyu jamaa huwa ni mbishi sana ila Mack Noble ni mbishi zaidi kwa siku ya jana.
Lawama lawama..... Mpira usivyo na adabu ukakushangaza tena jumatatu......ila mzee wangu namuaminiaa Antonio japo tunaweza kushangaa kweli
Hapo kwa Nyagei malizia mweka hazinawakuu salaam
ni matumaini mu wazima kabisa ...kiukweli naimis sana familiaa hii ila sitasita kuja kusalimia pidi nipatapo ka time kama leo ..
heshima kwa kapuku wote nikitaja wengine ntawasahau ila nyote wageni na wenyeji love ya kutosha
shunie mama kipenzi nakumis sana na unajua vile namis ukivuruge wako ila sala zakp zinafika haswa
bhinamu obe simu ya tachi nimeikumbuka na ile uliyoniagiza nimeileta
mkuu Mondray heshima kwako
balozi bitoz
shimba ntapata ripoti
mama mchungaji nakumis
mkuu mr T and sakayo
baba paroko
nyagei
mndali
shemela le mushenga papaa
mkuu dikteta
shululu
mzee mkavu sijui walikuteka
snipes
na wengine wote nawamis
Habari ya asubuhi mkuuDuuh sijajua ila nitakuja
Nyoka_mzee habari yakoMkuu hata usiku mtu akilala huwa roho inasafirii
sasa kama umeacha mwili ntauamsha ili roho irudi ulipokwenda nayo![]()
![]()
Shikamoo mama mchungajiKaribu kakq
Habari yako dingimtotosalama chief uhali gan?
Habari ya asubuhi bossHapana...!
Kwa mwanamke lazima kuna vitu mwanaume anavipenda zaidi..
Kuna mtu akishapenda kitu kimoja...vitu vingine vinamezwa ndani..thats how it goes
Mkuu Habari ya bwagamoyo?Asante mama mchungaji nawe pia uwe na jumapili njema
Heshima yako kaka Bitoz![]()
Niwatakie asubuhi njema kwa udhamini wa kiduku
Kiboko ya viherehere
.......