Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Mbona umepaniki dada hujiamini na timu yakoWeeeh ushindweeee
Mbona umepaniki dada hujiamini na timu yakoWeeeh ushindweeee
Najiamini sana hatuwezi fungwaMbona umepaniki dada hujiamini na timu yako
Hii kama inakuja na kwetuPanya wanadaiwa kuharibu ithibati kwa "kunywa pombe nyingi " huko India
![]()
Maafisa wa Polisi katika jimbo la Bihar mashariki mwa India, wanasema kuwa panya wamebugia maelfu ya lita ya pombe, walionasa na kuhifadhi kituoni mwa polisi, ili kutumika kama ushahidi dhidi ya wagemaji.
Mwaka jana jimbo hilo lilipiga marufuku uuzaji na unywaji wa pombe. Na tangu wakati huo maafisa wa polisi wamenasa zaidi ya lita 900,000 ya pombe haramu.
Afisa mkuu wa polisi katika mji wa Patna, Manu Maharaj amesema kuwa, aliarifiwa na inspekta mkuu wa polisi hapo siku ya Jumanne kuwa, pombe hiyo yote imenywewa na panya.
Idara ya polisi sasa, imeamuru uchunguzi ufanywe kubaini madai hayo.
Waziri kiongozi wa jimbo la Bihar, Nitish Kumar, alitangaza kupiga marufuku unywaji, uundaji na uuzaji wa pombe, mara baada ya kuchukua hatamu za uongozi mwaka jana.
Inaonekana kama njia mojawepo ya kupunguza migogoro ya nyumbani, unyanyasaji na umaskini.
Mara kwa mara maafisa wa polisi hutekeleza operesheni ya ghafla kote katika jimbo hilo, ili kunasa pombe haramu.
![]()
Polisi imewakamata maelfu ya watu na kunasa lita kadhaa ya pombe tangu sheria hiyo ianze kufanya kazi mwaka jana
Pia wamewatia mbaroni zaidi ya watu 40,000, kwa kuhifadhi pombe haramu manyumbani na madukani mwao.
Operesheni hiyo imechangia hifadhi kubwa mno ya chupa za pombe katika vituo vya polisi kama ushahidi.
Baadhi ya vutuo kadhaa vya polisi pia hukodi maghala ya kibinafsi ili kuhifadhi viwango hivyo vikubwa vya pombe.
Sheria inasema kwamba, yeyote anayepatikana akinywa au akiuza pombe, anaweza kufungwa jela jumla ya miaka 10.
Chanzo bbcswahili
Mkuu hebu fafanua kidogo uzuri wa bangi na ubaya wa sigaraBangi ni nzuri kuliko sigara
Pole dada ndo maana nimeshindwa kuja maana naogopa mafurikoInanyesha inaacha inanyesha tena
Hamna cheti ila kuna namna yenu ambayo mnapaswa kuhakikiwa ili kujirudhisha uwepo wenu na pia kutoa hati miliki kwa wamiliki wote wa makoloni na kuhakikisha mnasajiliwa rasmi na kutambulika kisheriahahaha sisi tuna cheti
Pole mkuu si ulisema uko kibaha mkoa wa pwani au unashinda dar jioni ndo unarudi kibahaNever miss
Kweli mkuuNakwambia ni shida. Ndiyo maana watu wengine huko majukwaa mengine hawaishi kulalamika...
Sawa dadahapana kaka wala sijafika huko nipo hapa hapa
Sawa saa 12 sio mbali sana na inatakiwa ule mapema maana ukifungwa hamchelewi kuzila kulaNajiamini sana hatuwezi fungwa
Weekend tusitembee jamaniHivi kinyerezi ndio kibaha shemela
Yupo darPole mkuu si ulisema uko kibaha mkoa wa pwani au unashinda dar jioni ndo unarudi kibaha
Ni dawa shemelaHapanaaaa siwezi tumia ata kusagia na maji acha vingine tuwe watazamaji sio kila kitu ujaribu
Hili la maana ujue kuliko yoteSawa saa 12 sio mbali sana na inatakiwa ule mapema maana ukifungwa hamchelewi kuzila kula
Mh mpk sa 8 za usikuWeekend tusitembee jamani
Nilitaka nimwagize hapo kibahaYupo dar
Sawa dadake na mimiHili la maana ujue kuliko yote