Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Siku hizi mechi hazina nguvu, tegemeo kuu ni makocha na si wachezajiMtoto alikuwa hatumwi dukani
HBD mapacha1988 - Mapacha Eino na Sander Puri wanazaliwa.
Ni wanasoka kutoka nchi ya Estonia.
MnoYalifanya kazi
Shukrani mkuu Mussolin5Leo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
CIA wanaivuruga sana Africa MagharibiHasa CIA.
Solo => soko![]()
![]()
Siku hizi naona imejikita kwenye pikipiki
Wamebadilika kuendana na solo
.......
Odonyolengai una vitu vingi vya utalii, lakini hatuna time nao![]()
![]()
Wakati Wabongo hata idadi ya Milima iliyopo nchini tu hatujui
.....
hahahah! sawa

Hao ni wengi sanaWazungu huwa wanapenda kufanya vitu vya tofauti sana. Sasa jiulize akina Mangi wapo hapohapo Moshi lakini hawajawahi kufika hata geti la mlima kilimanjaro kama lile la Marangu.
Soko Lake sio kubwa ndio maanaDSTV siku hizi hawaoneshi ligi Italy na German, sijui kwa nini
1988 - Mapacha Eino na Sander Puri wanazaliwa.
Ni wanasoka kutoka nchi ya Estonia.
Aisee, kuwa na decoder nyingi nayo ni kalaha sana,Mi nafatilia Serie A kupitia Azam tv chaneli namba 680.
Startimes wanaonyesha kwenye channel nne za spotiMi nafatilia Serie A kupitia Azam tv chaneli namba 680.
Alikuwa mrembo
Unapasha pasha?
Au kwa kuwa startime wanadhamini, ndio wanakuwa na haki ya kuonesha wao tuStartimes wanaonyesha kwenye channel nne za spoti
Star Sport Arena
Star Sport life
Star Sport world football
Star Sport Premium
Sikufahamu hiloMagari yapo pia, Kenya wanapenda sana Magari ya Honda na Ethiopia, ni kama Toyota bongo