Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Hasa CIA.![]()
![]()
Chokochoko nyongi za Kiafrika zina mkono wa wazungu
......
Hasa CIA.![]()
![]()
Chokochoko nyongi za Kiafrika zina mkono wa wazungu
......
Poa Mondray, niajeNiaje shukulu...
Ndio naekekea
hahahah! sawaTunakwangua tu kama pale taifa
1986 - Mkanada Patrick Morrow anakuwa mtu wa kwanza kupanda milima yote mirefu saba ya kila bara hapa ( Seven Summits ).
Seven Summits ni Mlima Kilimanjaro, Everest, Concagua, Puncak Jaya, Konsciuszko, Elbrus, Mont Blanc.
Uko sahihi mkuu, makampuni makubwa ya vifaa vya michezo ya Kijerumani kama Adidas na Puma wanafanya vizuri sokoni.Wajerumani wapo vizuri kwenye vifaa vya michezo
Vifaa vya kielekroniki wanatengeneza vinavyodumu ila wamezidiwa sokoni
......
Ngoja nione jibuBibie naomba tuwe p1 humu KP maan mm sina mate humu
Wazungu huwa wanapenda kufanya vitu vya tofauti sana. Sasa jiulize akina Mangi wapo hapohapo Moshi lakini hawajawahi kufika hata geti la mlima kilimanjaro kama lile la Marangu.Aisee alitisha sana
Nashukuru kiongoziasanteh! mkuu Mussolin5
Wanabadilika kutokana na nyakati.![]()
![]()
Siku hizi naona imejikita kwenye pikipiki
Wamebadilika kuendana na solo
.......
DSTV siku hizi hawaoneshi ligi Italy na German, sijui kwa niniSeria A leo wanaanza mapema sana
Engineering bora duniani ipo UjerumaniWajerumani wapo vizuri kwenye vifaa vya michezo
Vifaa vya kielekroniki wanatengeneza vinavyodumu ila wamezidiwa sokoni
......
Waache wamemiss vurugu zangu..!
Ila mimi nipo full reloaded..wakitaka vita waje..

Mi nafatilia Serie A kupitia Azam tv chaneli namba 680.DSTV siku hizi hawaoneshi ligi Italy na German, sijui kwa nini
1919 - Eva Peron anazaliwa.
Alikuwa ni mke wa Rais wa 25 wa Argentina, Juan Peron.
Mwanaharakati wa haki za Wanawake ( Mfeministi ) na kiongozi wa kiroho wa Argentina.
Ni mmoja kati ya wanawake mashuhuri na wanaokubalika kuwahi kutokea katika nchi ya Argentina na Amerika ya Kusini kwa Ujumla.
Asante musolini kwa leo katika historiaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Chagua weweMh! Wapi tena huko
Mi mlokole hayo mavitu hapanaBibie naomba tuwe p1 humu KP maan mm sina mate humu
Leo nakupangia kikosi BAsante musolini kwa leo katika historia
Nawe siku njema
Tukutane hapo saa 18 hrs
A soldier from South SudanWaache wamemiss vurugu zangu..!
Ila mimi nipo full reloaded..wakitaka vita waje..
Magari yapo pia, Kenya wanapenda sana Magari ya Honda na Ethiopia, ni kama Toyota bongo![]()
![]()
Siku hizi naona imejikita kwenye pikipiki
Wamebadilika kuendana na solo
.......