Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Khaaaa mama mchuchu[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama Baloteli[emoji12]
Khaaaa mama mchuchu[emoji23] [emoji23] [emoji23] kama Baloteli[emoji12]
akiiii unatuharibia mamaYes[emoji23]
hahaha shemela umemuona mukongo lknHaaaaahaaaa
mkuuu vip ubuyu lkn itabid tufanye exclusive na transcend tupate ubuyu kuhusu sakayo mkuuHahahaha shedede upo mkuu,
nisaidie my boss[emoji120]Nyagei ni shedede sio shedebe halaf ushazoea kumwita hivyo
mnyalukolo gani my boss[emoji20]Mnyalukolo kamjibu leo shedede
haha..hNi poa Shede Wizzo!
Subiri aiseeNdio unafikiri utafunga au? Jidanganye
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Njema Shedede Mapembelo?
Ni eneo la serikaliwamefunga kwa nn
Asante sana mkuu Bitoz,kazi yako ni njema nimejifunza mambo mengi sana[emoji120]1/Giaconno & Giovanni Battista![]()
![]()
Hawa walizaliwa mwaka 1877
Kuungana kwao kulisababisha washindwe kutembea na kutumia kiti cha magurudumu maisha yao yote
Walifanya ziara mbalimbali kwa kipindi cha miaka 20
Walifanikiwa kuoa wanawake tofauti
Mwisho
Tukutane J3
............
Usishangae sanaKhaaaa mama mchuchu
RIP Mapacha2/Ladan & Laleh Bijani![]()
Hawa walizaliwa Iran mwaka 1979 wakati wa mapinduzi hali iliyopelekea kuwa chini ya matunzo ya daktari hadi miaka michache baadaye![]()
Walikuwa wakitofautiana kwa mambo mengi mfano mmoja alitaka kuwa Wakili huku mwingine alitaka kuwa mwandishi wa habari hali iliyopelekea watamani kutenganishwa japo walielezwa Ni hatari
Wakati wa operesheni ya kuwatenganisha walikuwepo madaktari bingwa wa upasuaji 28 pamoja na wahudumu 100
Baada ya kutenganishwa wakafariki masaa machache baadaye
.......
Namuona shemelahahaha shemela umemuona mukongo lkn
Kwema hukoPowa
Amen.....Bwana Yesu asifiwebwana yesu asifiwe sana
Kweli Shululu ukijiweka kando mtoto anawez kuja kukwambia ...mama nadaiwa pesa shuleni nimevunja amoeba unaanza kumpa pesa haraka ya fidia watoto acha kabisaUmesema vyema mama mchungaji
[emoji87] [emoji85]hahaha kazi yako tunaiona unatuharibia mama yetu
[emoji4]Khaaaa mama mchuchu