Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Wamekula chumvi ya kutosha.![]()
![]()
Miaka 107 si mchezo
.....
Wamekula chumvi ya kutosha.![]()
![]()
Miaka 107 si mchezo
.....
Nafikiri na filamu pia![]()
![]()
Zinahusu muziki pekee au na filamu?
.....
Pamoja mkuu.
Wakati wa fainali hizo alifunga nao na kushangilia kwa hisia kali ya kuingia golini na kushika wavu na kuutikisa![]()
Tukio hilo lilimpa umaarufu mkubwa duniani na staili hiyo ikaigwa
Lakini Mwisho alikufa kimaskini huko nyumbani kwao
.
Shukrani kamanda kwa historia
Tukutane jioni kwenye 10 kubwa
......
......
Iron lady.Mwanamke wa shoka
Amezaliwa tarehe 4 na anapenda kuvaa jezi namba 4.Kombe la ulaya akiwa na Spain
La Liga akiwa na Barcelona
Epl akiwa na Chelsea
Fa akiwa na Arsenal
Mtaani tulikuwa tunamuita " Bubu ".![]()
1998- Wes Brown anaichezea kwa mara ya kwanza Manchester United
Ni zao la akademi ya Mashetani Wekundu
....
.
tuko poa mkuuHabari wapendwa..
Mko poa mie naendelea fresh...
Shukrani sana tutasubiriAmezaliwa tarehe 4 na anapenda kuvaa jezi namba 4.
Jioni nikitulia naweza nikawaletea wachezaji mahiri na namba wanazipenda kuvaa.
kamaida afande shululu hali niganiAfande shedede niaje
mkuu niliwahi uliza stori kuhusu mahatma ganziNafikiri na filamu pia
Thanks for sharing mkuu wa jamviAmezaliwa tarehe 4 na anapenda kuvaa jezi namba 4.
Jioni nikitulia naweza nikawaletea wachezaji mahiri na namba wanazipenda kuvaa.
Hahahaha shedede upo mkuu,tuko poa mkuu
Nipo mapajani mwake ananipeti petiHivi valentina amepotelea wapi wakuu,
Poa kabisa kamandakamaida afande shululu hali nigani
hahahah binamu bana ngoja ankolee arudi upate tachi yakoHa hahahhah, mimi simu yangu ya tochi, kumbe kuna za tachi😱, ngoja liaanko langu lirudi litaniletea hii ya tachi
Ewaaa, endelea na tafakuri, utapata tu maono na kimya kitapotea na kuanza kutafakari kwa sauti



hivi binamu hiyo avatar unaendana nayo eenh kitu cha weed kinapanda