Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hii ndo inaitwa midadi

jamaa Wawili Walifika Steshen, Wakakuta Tren Ndo Kwanza Inaondoka, Wakaanza Kuikimbiza, Mmoja Akafanikiwa Kupanda Akaondoka... Yule Aliyebaki Akaanza Kucheka Sanaa.... Mpaka Machoz Yakamtoka Watu Wakamuulza, Unacheka Nini Sasa Wakat Umeachwa? Akawajibu; "kinacho Nichekesha Yule Aliyepanda Alikuwa Ananisindikiza.

Yule msindikizaji anaendelea kuisindikiza treni
 
61bd98e972f54c28eefc0be51070b5f5.jpg
a44f6a733b5df3ceeb8f8f714fd947d1.jpg

Km sijakosea akiwa Arsenal aliweka rekodi ya mchezaji mdogo zaidi kuichezea Arsenal (sasa hivi ishavunjwa sijui)
Pia aliweka rekodi ya nahodha mwenye umri mdogo
.....
HBD Radja Rainggolaj
 
Hii ndo inaitwa midadi

jamaa Wawili Walifika Steshen, Wakakuta Tren Ndo Kwanza Inaondoka, Wakaanza Kuikimbiza, Mmoja Akafanikiwa Kupanda Akaondoka... Yule Aliyebaki Akaanza Kucheka Sanaa.... Mpaka Machoz Yakamtoka Watu Wakamuulza, Unacheka Nini Sasa Wakat Umeachwa? Akawajibu; "kinacho Nichekesha Yule Aliyepanda Alikuwa Ananisindikiza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom