Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,222
- 39,922
Unatafuta nini makaburini?Bila shaka kabisa
Unatafuta nini makaburini?Bila shaka kabisa
Nzuri mkuuwakuu habar nigani ???
Mnafungwa, unamskiza Jose???Emirates nakufunga aisee
Pia Jose anasema wachezaji wake wamechoka, tangu April 1mpaka sasa wamecheza mech 10, atapunguza wachezaji waliocheza muda mwingi uwanjani
Asante kwa nyongezaHao ni wazima kiuzazi
Hivyo wanafanya km ww unavyofanya tofauti staili tu
Tena kwenye hiyo listi wapo waliozaa watoto zaidi ya 20 ila nikasahau kuandika kuhusu hilo
..........
HAKIKA MUNGU YU MWEMAMungu yu mwema anayo makusudi kwa kila kiumbe chake,wacha Mungu aitwe Mungu,ametuumba kwa jinsi ya ajabu na kutisha tumshukuru sanatuwaombee wakuewawe na furaha na amani ili kusudi lake Mungu litimie
![]()
HaaaaahaaaaMwambie lee anyoe![]()
![]()
![]()
Ni kweli huwa wanazaa sana, tena bila tatizo loloteUkifuatilia sana ,walemavu wana kizazi sana Mungu hawezi kukunyima kila kitu
aisee poa kabica mkuuMambo vipi humu ndani
Dakika 90Mnafungwa, unamskiza Jose???
vizuri mkuuNzuri mkuu
Ndio unafikiri utafunga au? JidanganyeEmirates nakufunga aisee
Pia Jose anasema wachezaji wake wamechoka, tangu April 1mpaka sasa wamecheza mech 10, atapunguza wachezaji waliocheza muda mwingi uwanjani
bwana yesu asifiwe sana
Njema Shedede Mapembelo?wakuu habar nigani ???
hahaha kazi yako tunaiona unatuharibia mama yetuAf wewe!!!.....we unataka weka muziki uskize mwenyewe!!!
wamefunga kwa nnSana, Enzi hizo lakini, nafikiri kwa sasa pamefungwa
mapembelo wawene dadaNjema Shedede Mapembelo?
nahisi kesho anaweza rudi mara moja mpk jumapiliLee hajarudi tu