Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kazi ya kumlinda Shunie hapa JF probably ndiyo kazi ngumu kuliko zote. The angel is famous as hell na kila janaume linapobisha hodi huku gia ya kuingilia ni "Shunie I miss you, Hawa yu Shunie"... Kama na huko MMU hali ni hii hii namwonea huruma sana Shedede. May be he has bitten more than he can chew/swallow. Poor Shedede!
 
Kazi ya kumlinda Shunie hapa JF probably ndiyo kazi ngumu kuliko zote. The angel is famous as hell na kila janaume linapobisha hodi huku gia ya kuingilia ni "Shunie I miss you, Hawa yu Shunie"... Kama na huko MMU hali ni hii hii namwonea huruma sana Shedede. May be he has bitten more than he can swallow. Poor Shedede!
don't dare to make mistake under my root huwa sitishwi na kelele za chura mijianaume hasa wewe ndio mlioniharibia kazi nyie

ndomana vigingi haviishi kunisimanga hii kazi ingekuwa very easy lee angekupa ww anajua ni kazi ya kiume yenye more complain ndo mana kanipa mimi .........
.......
.......
......
 
Huonyeshi kama umegangamara; na shida ndo inaanzia hapo. Ndo maana juzi juzi hapa ulitimuliwa Lee alipokushtukiza akakuta umehamishia sime, mapanga na rungu lako Master bedroom. Isingekuwa Shunie mwenyewe kuingilia kati sasa hivi ungekuwa jobless.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom