Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,513
- 40,619
[emoji4]akiiii unatuharibia mama
[emoji4]akiiii unatuharibia mama
UPENDO WA AJABU,WALIWAFIKIRIA WAHITAJI WENGINE ,HAWAKUWAZA MAPUNGUFU YAO5/Eliza & Mary ChalkhurstHawa walizaliwa nchini England 1100![]()
Ndio mapacha walioungana wa mwanzo kabisa kufahamika
Waliungana sehemu za mapajani japo picha zingine zinaonesha pia begani
Walifariki mnamo mwaka 1136 ambapowaliagiza pesa zao zilizopatikana kutokana na umaarufu wao zitumike kusaidia maskini na wasiojiweza kijijini kwao
.......
Kwema KabisaKwema huko
Vunga basi[emoji1]Shede[emoji115]
Wapi shemela letuKabisa
kivipCc: Shunie Njoo huku nimekumisi je
Njema mkuu Shululu umeshindaje?ubarikiweZa jioni mama mchungaji
amen...Amen.....Bwana Yesu asifiwe
Kawaida tu mkuu, kwan kuna shidakivip
Kunani?mkuuu vip ubuyu lkn itabid tufanye exclusive na transcend tupate ubuyu kuhusu sakayo mkuu
hatushindwiiiii
Mlinzi gangamara! Siyo unauliza kivipi huku umelegea legea. Chimba mkwara hevi azawaisi kuna hatari ya kufukuzwa tena bosi akirudi.kivip
ni exclusive mtamboni tunafanya sisi hatushindwiKunani?
Nipo salama, za nyumbaniNjema mkuu Shululu umeshindaje?ubarikiwe
hahaha nasubiria 2nd reply mkuuMlinzi gangamara! Siyo unauliza kivipi huku umelegea legea. Chimba mkwara hevi azawaisi kuna hatari ya kufukuzwa tena bosi akirudi.
Kwema lakini?
Hiyo ni mind game mkuuEmirates nakufunga aisee
Pia Jose anasema wachezaji wake wamechoka, tangu April 1mpaka sasa wamecheza mech 10, atapunguza wachezaji waliocheza muda mwingi uwanjani
Nitakaimu nafasi yake [emoji23][emoji23]Mlinzi gangamara! Siyo unauliza kivipi huku umelegea legea. Chimba mkwara hevi azawaisi kuna hatari ya kufukuzwa tena bosi akirudi.
Kwema lakini?
Utungimapembelo wawene dada
AyaaaaaaaaAfande shedede upooooooo