Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,415
Mimi nahusikaje tena? Lee hanipendi kwa sababu anajua wazi kuwa akizubaa tu "navunja chaga". Umelikoroga mwenyewe usianze kutafuta mchawi. Una vyeti vya mgambo/JKT feki mpaka Lee amekushtukia?najua tu wew ndo umesababisha kibarua kiote nyasi
Shede Wizzlefrsh kwema ??
750500-750-1000gms
Weka juhudi tu mkuu utatoka uwe kama maarufu kama JombiPoa mkuu ni mradi ambao naona unaweza kuniongezea kipato
hahahhah musukuma una manenoMimi nahusikaje tena? Lee hanipendi kwa sababu anajua wazi kuwa akizubaa tu "navunja chaga". Umelikoroga mwenyewe usianze kutafuta mchawi. Una vyeti vya mgambo/JKT feki mpaka Lee amekushtukia?
Jitahidi
Unamkubali kivipi hasa ukizingatia kuwa aliingia kwa gia ya kukutongoza? Unafikiri Lee ni mjinga aiachie njia kuu yake iwe mchepuko wa mlinzi? Jiheshimu bana ala!Khaaa msukuma me ujue namkubali sana shedede nitaongea vizuri na lee ampe last chance
shedede hajawahi nitongoza mmUnamkubali kivipi hasa ukizingatia kuwa aliingia kwa gia ya kukutongoza? Unafikiri Lee ni mjinga aiachie njia kuu yake iwe mchepuko wa mlinzi? Jiheshimu bana ala!
Nunda!!!
Mkuu huwa mi bado sijaanza ila nimetembelea wafugaji na kujua baadhi ya vitu nikimaliza kufuatilia vyote nitaleta somo lililo kamilikaShusha Nondo mkuu
Anafugia wapi?Mbona kuna sister angu kaanza kufuga imekata miezi 6 hawajafikisha hata 60kg!!!
Vijana wa Kolomije kwa kweli tumejaliwa kuongea. Humuoni Gwajima? Bashite je? Sema tu huwa hatuongei pumbahahahhah musukuma una maneno
hiko ni kipaji chenu kwenye kuongea pumba hapo mnaziongea sanaVijana wa Kolomije kwa kweli tumejaliwa kuongea. Humuoni Gwajima? Bashite je? Sema tu huwa hatuongei pumba
Acha na wengine wajaribu. Ulikuwa umeanza kuringa kisa eti unamlinda Shunie - malkia wa JF!. Ulijichanganya tangu mwanzo ulipoanza kwa kumtongoza kwanza. Hata mimi ningekutimua tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna!
177kKwani leo Shedede hakuwepo lindoni mpaka mjuliane hali huku? Au Lee kamtumbua?
Mtu na bodyguard wakeKhaaa msukuma me ujue namkubali sana shedede nitaongea vizuri na lee ampe last chance
Ni huyo tu ViperUnapenda sana nyoka?
Jombi jambazi???Weka juhudi tu mkuu utatoka uwe kama maarufu kama Jombi
Ndiyo shemela, ulishawahi kula nyama arusha?Khaaaa shemela kwa mlo mmoja tu