Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
teh teh
teh teh
Sio kazi isipokuwa jina litakuwa kubwa
Mndali muuza mdudu



kumbe mlikua mnamzungumzia mduduThe bodyguardMtu na bodyguard wake![]()
SawaNi huyo tu Viper
Nimekosea kukusifia? Tangu lini mwanamke akachukia kusifiwa? Makubwa!msukuma ujue ni mwehu lee akiona hivi anavurugwa
Kama niliwahi kuuona uzi kumhusuStory yake huyo mtu natamani siku mtu amfungulie uzi aisee
hahahh sasa mbona mm sio mweupe shemelaWeupe huwa wanawachanganya sana wasukuma
Wee ngoja wasukuma wakusikiemsukuma ujue ni mwehu lee akiona hivi anavurugwa


hahhaha na msemo wake the bodyguard from koromijeThe bodyguard
ila we mtuNimekosea kukusifia? Tangu lini mwanamke akachukia kusifiwa? Makubwa!

niliona lkn watu walikua wanaingizia tu kwenye uzi usiomuhusuKama niliwahi kuuona uzi kumhusu
wanisamehe tuWee ngoja wasukuma wakusikie![]()
Huko ni balaa, huwezi choka kula nyamanishawahi shemela kwa mromboo
Hapo ni kweli aisee. Kwani Shunie ni mweupe?Weupe huwa wanawachanganya sana wasukuma
Haaaaahaaaa, haya shemelahahhahah akija kujibu uniite
Kuna ya Jombiniliisoma watu walichangia kwa yule jambazi wa arusha lkn hawajafungua uzi wake
Njema karibuhabar za kwenu ndugu zangu mko okey??
Avatar yako labda ina sadifuhahahh sasa mbona mm sio mweupe shemela
Nipe mfano kamili halafu nitakuambia kama ni pumba ama la!hiko ni kipaji chenu kwenye kuongea pumba hapo mnaziongea sana