Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
hiv shemlake naww unafurahia mimi kutumbuliwa???lee amemtumbua amempangia kazi nyingine ya kusimamia shambani
hiv shemlake naww unafurahia mimi kutumbuliwa???lee amemtumbua amempangia kazi nyingine ya kusimamia shambani
Shusha Nondo mkuuHuyo atakuwa hajui namna ya kuwalisha
Hata chakula chao kinavyo takiwa kutengenezwa
Asante bitoz kwa top [emoji772] ten [emoji647]1/The Titanoboa Snake![]()
Inakadiriwa alitoweka duniani takribani miaka Milioni 50 iliyopita![]()
Alikuwepo huko Colombia ndo kuna makumbusho ya mabaki yake
Alikuwa na urefu wa futi 42 na uzito karibia tani 1
Upana wake ni sawa na hips za mwanamke?
Ahsanteni kwa kuwa nami
Mwisho
.......
Mkuu ndo ulikuwa ripota wa tukio nini maana picha inasema yote
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
China kula nyoka ni kugusa tuNyagei atakua na vielement vya kichina
Blessed Hope kazi anayoWenye phobia ya nyoka leo kazi wanayo. Ukifikia kuchambua aina za mende uniite[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji20][emoji20][emoji20]aisee iyo kazi naiweza mimi peke yangu........ once ushaidi nnao hapa kiganjan kwanguUnagawa kazi wakati umefukuzwa kazi na unae mgawia ndo amepewa hiyo kazi
Kwema mkuu, vip pande hizofrsh kwema ??
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Mpe pole zake [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimba!!! Unajuaje???.....Hivi nge anazaa???Nge jike harafu sasa liwe na mimba, maumivu yake si mchezo
Haaaaahaaaa, Lee hataki hata kusikiakwanzia leo nakutea uwe assistance wangu kumlinda shunie
piga kaziiii
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
SijajuaKwanini ni ngumu kuwakamata?
Hizi ndo kauli za kipindi hiki cha anko amebana
kipande hik sio njema saaana siumeona nimetimuliwa mwenzioKwema mkuu, vip pande hizo
Magazeti ya leomama yangu nimedhamini nini mimi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi kwani umeachishwa kweli boss wako sio wa mchezo mchezonajua tu wew ndo umesababisha kibarua kiote nyasi[emoji22][emoji22]
Mndali kwenye ubora wakeUnagawa kazi wakati umefukuzwa kazi na unae mgawia ndo amepewa hiyo kazi
hahaha jamaan shemela ukimaanishaTangu Lee amerudi umekuwa adimu sana humu