Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
hahaha shemela ww sbbu ya Bulger unamuuliza hilo swali mama mchuchuMama mchungaji una wajukuu wangapi
hahaha shemela ww sbbu ya Bulger unamuuliza hilo swali mama mchuchuMama mchungaji una wajukuu wangapi
Bwahahahahahahaaaaahapana bana ni handsome kwangu tu mm ana sura ya kiume

King cobra kupata kichwa chake tu ni shidanamskiaga sana king cobra
Kwani leo Shedede hakuwepo lindoni mpaka mjuliane hali huku? Au Lee kamtumbua?shikamoo sisi wazima sijui ww
Here here!!!urudi unaenda wapi mushenga
Ngozi yake inafaa kwa viatuu na mikanndarangi yake nzuri
Af weweahhaahhah ujue nilijua alikua ananiita

shemela mm ni muoga sana ila hao viumbe nawaogopa sna siku nikienda snake park halaf niwekewe shingoni nahisi nitatoa haja zoteUaiwaogope shemela
Unapenda sana nyoka?Baadae tupatie sifa zake tafadhali
mushenga niambie kilichokufurahisha nn kukwambia bae wangu ni handsome auBwahahahahahahaaaaa![]()
AiseeKing cobra kupata kichwa chake tu ni shida
Nakumbuka movie yake lile joka2/The Green Anaconda
Huyu kila mtu anamjua....Muvi ya Anaconda aliyoicheza Jeniffer Lopez inafahamika![]()
Wanapatikana huko kwenye misitu ya Amazon Brazil
Wastani wa urefu wao ni futi 15 hadi 18
Aliyeweka rekodi alikuwa na futi 29 ila inasemekana waneshawahi kuwepo wakubwa zaidi ya huyo ila ushahidi bado hauhaonekana
......
Ukikutana naye porini hakuna haja ya kumkimbia, unapambana naye tu3/The Reticulated Python
Wanapatikana huko Asia Kusini Mashabiki![]()
Huwa na wastani wa futi 20
Mkubwa zaidi kurekodiwa ni mwenye futi 30
........
Very new knowledge.....ukigusa maji baridi maumivu kuanza tena!!!Wakati ule kijijini Kolomije ukiumwa na nge walikuwa wanaweka maji ya moto wanakukanda nayo halafu wanaweka tumbaku iliyosagwa (ugoro) mahali ulipoumwa. Sijui kama hii ilikuwa inasaidia cho chote kwa sababu maumivu ndiyo yalikuwa kama yanazidi. Maji ya moto nadhani ndiyo unapanua mishipa ya damu ili sumu isafiri kwa urahisi zaidi lakini ndiyo tiba za jadi hizo. Solace yangu ilikuwa ni katika ufahamu kwamba siwezi kufa kwa kuumwa na nge japo kuna jamii moja ya nge huko Atacama desert ikikutandika unaweza ku-RIP. Maumivu ni makali sana na utake usitake machozi yatakutoka tu hasa ukitandikwa na nge jike aisee ni shida. Na kesho yake ukikosea ukagusa maji ya baridi ngoma inaanza upya...
lee amemtumbua amempangia kazi nyingine ya kusimamia shambaniKwani leo Shedede hakuwepo lindoni mpaka mjuliane hali huku? Au Lee kamtumbua?
Unamaliza 2kg???Ongeza bidii![]()
![]()
![]()
![]()
OoohNgozi yake inafaa kwa viatuu na mikannda
Waliwaleta kule Florida eti wawasaidie kutatua tatizo la panya wakazaliana haraka haraka panya walipoisha wakaanza kula nyoka wenyeji, ndege, samaki, sungura, squirrel na kila aina ya viumbe wenyewe hawachagui. Sasa wamegeuka na kusababisha environmental crisis ya hali ya juu. Leo hii ukikamata mmoja unalipwa mpaka dola 100 kulingana na ukubwa wake. Kwa wenye utaalamu wa kukamata nyoka waende huko wakapige mzigo...4/The Burmese Python
Chatu hawa wanapatikana nchini Burma barani Asia![]()
Huwa na urefu wa futi 13 hadi 20
Wana uwezo wa kujiongezea joto mwilini mwao
Sijapata rekodi sahihi za mrefu zaidi kuonekana si mnajua hiyo nchi ya kushamba
..........
mimi apa mushengaAf wewe![]()