BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Shuuu!!6/The Scrub Python
Hawa ni jamii ya chatu wansopatikana Australia pekee![]()
Urefu wao huweza kufika hadi futi 28
.......
Shuuu!!6/The Scrub Python
Hawa ni jamii ya chatu wansopatikana Australia pekee![]()
Urefu wao huweza kufika hadi futi 28
.......
Poa mkuu ila naona ni mifugo unayo lipa ukijua kuhudumiaPlan D hiyo
HayaLeo je wajua itakuwepo

Huyu ndie anadonoa kichwani,wenyeji wanatembea na vyungu vya uji kichwani wapitapo porini,akidonoa tu anauawa na uji7/The King Cobra![]()
Huwa na urefu wa futi 15.6 hadi 18.8
Wanapatikana kwa wingi India na Indonesia
Mkubwa zaidi kuwahi kurekodiwa amehifadhiwa huko London kwenye Zoo akiwa na urefu wa futi 18.8
..
....
lee ni hendisamu sanahahhha
Poa dada karibu tuungane pamojanimeadimika kidogo kaka angu lkn tupo pamoja
Amen dear za siku upo nakumislilikua pepo pole sna mama mchuchu
Hongera kwa ushindiNdiyo hivyo
Wanalipa sana haoPoa mkuu ila naona ni mifugo unayo lipa ukijua kuhudumia
mtto wa kiume anakuaje muoga hivyo anajaribu jaribu tu si aache kama hawezi
hivi ukimpa captain morgan ata kuonja ataweza kweli

Sio huyuHuyu ndie anadonoa kichwani,wenyeji wanatembea na vyungu vya uji kichwani wapitapo porini,akidonoa tu anauawa na uji
hapana bana ni handsome kwangu tu mm ana sura ya kiumelee ni hendisamu sana
3/The Reticulated Python
Wanapatikana huko Asia Kusini Mashabiki![]()
Huwa na wastani wa futi 20
Mkubwa zaidi kurekodiwa ni mwenye futi 30
........

Shemela niajeAiseee