Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,294
kwanzia leo nakutea uwe assistance wangu kumlinda shunieNiaje shedede
piga kaziiii
kwanzia leo nakutea uwe assistance wangu kumlinda shunieNiaje shedede
Wewe shemela kama ulihadithiwa tu na mama, wakati mama mchungaji yeye Kala Bulger,hahaha shemela ww sbbu ya Bulger unamuuliza hilo swali mama mchuchu
Tangu Lee amerudi umekuwa adimu sana humu
najua tu wew ndo umesababisha kibarua kiote nyasiKwani leo Shedede hakuwepo lindoni mpaka mjuliane hali huku? Au Lee kamtumbua?


Anaconda alijulikana sana kupitia j,lol2/The Green Anaconda
Huyu kila mtu anamjua....Muvi ya Anaconda aliyoicheza Jeniffer Lopez inafahamika![]()
Wanapatikana huko kwenye misitu ya Amazon Brazil
Wastani wa urefu wao ni futi 15 hadi 18
Aliyeweka rekodi alikuwa na futi 29 ila inasemekana waneshawahi kuwepo wakubwa zaidi ya huyo ila ushahidi bado hauhaonekana
......
AmetumbuliwaKwani leo Shedede hakuwepo lindoni mpaka mjuliane hali huku? Au Lee kamtumbua?
mama yangu nimedhamini nini mimiAsante kwa magazeti mkuu Shululu,asante kwa udhamini mkuu Shedede Mungu awabariki Mei Mosi njema![]()

Mpe pole zakelee amemtumbua amempangia kazi nyingine ya kusimamia shambani



Hongera 177kKwani leo Shedede hakuwepo lindoni mpaka mjuliane hali huku? Au Lee kamtumbua?
Haaaaahaaaashemela mm ni muoga sana ila hao viumbe nawaogopa sna siku nikienda snake park halaf niwekewe shingoni nahisi nitatoa haja zote
Unagawa kazi wakati umefukuzwa kazi na unae mgawia ndo amepewa hiyo kazikwanzia leo nakutea uwe assistance wangu kumlinda shunie
piga kaziiii
1kgUnamaliza 2kg???
Wenye phobia ya nyoka leo kazi wanayo. Ukifikia kuchambua aina za mende uniite![]()

Trump atakubali?Waliwaleta kule Florida eti wawasaidie kutatua tatizo la panya wakazaliana haraka haraka panya walipoisha wakaanza kula nyoka wenyeji, ndege, samaki, sungura, squirrel na kila aina ya viumbe wenyewe hawachagui. Sasa wamegeuka na kusababisha environmental crisis ya hali ya juu. Leo hii ukikamata mmoja unalipwa mpaka dola 100 kulingana na ukubwa wake. Kwa wenye utaalamu wa kukamata nyoka waende huko wakapige mzigo...