Makapuku Forum

Makapuku Forum

5/The African Rock Python
d1f6b21dffe338af199aa1d2e76b8d23.jpg
b1b218a12ac0b035fdf6dfd810697e52.jpg
Jamii hii ya chatu linapatikana barani Afrika
Huwa na urefu wa futi18 hadi 26
Rekodi zinaonesha wapo waliofika futi 28
Hawa chatu ni ngumu kuwakamata
.....
Aisee
 
Dawa yake baada ya kuumwa nae ni nini?
Wakati ule kijijini Kolomije ukiumwa na nge walikuwa wanaweka maji ya moto wanakukanda nayo halafu wanaweka tumbaku iliyosagwa (ugoro) mahali ulipoumwa. Sijui kama hii ilikuwa inasaidia cho chote kwa sababu maumivu ndiyo yalikuwa kama yanazidi. Maji ya moto nadhani ndiyo unapanua mishipa ya damu ili sumu isafiri kwa urahisi zaidi lakini ndiyo tiba za jadi hizo. Solace yangu ilikuwa ni katika ufahamu kwamba siwezi kufa kwa kuumwa na nge japo kuna jamii moja ya nge huko Atacama desert ikikutandika unaweza ku-RIP. Maumivu ni makali sana na utake usitake machozi yatakutoka tu hasa ukitandikwa na nge jike aisee ni shida. Na kesho yake ukikosea ukagusa maji ya baridi ngoma inaanza upya...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom