Makapuku Forum

Makapuku Forum

1/The Titanoboa Snake
314175d77b75b71f2dc4ac8f6efeba6f.jpg
d4097f5ea4e12063a3db04a00d8ba4e1.jpg
12fc4dd8ae52f657a984de06388ef064.jpg
Inakadiriwa alitoweka duniani takribani miaka Milioni 50 iliyopita
Alikuwepo huko Colombia ndo kuna makumbusho ya mabaki yake
Alikuwa na urefu wa futi 42 na uzito karibia tani 1
Upana wake ni sawa na hips za mwanamke?

Ahsanteni kwa kuwa nami
Mwisho
.......
 
Waliwaleta kule Florida eti wawasaidie kutatua tatizo la panya wakazaliana haraka haraka panya walipoisha wakaanza kula nyoka wenyeji, ndege, samaki, sung urais, squirrel na kila aina ya viumbe wenyewe hawachagui. Sasa wamegeuka na kusababisha environmental crisis ya hali ya juu. Leo hii ukikamata mmoja unalipwa mpaka dola 100 kulingana na ukubwa wake. Kwa wenye utaalamu wa kukamata nyoka waende huko wakapige mzigo...
Aiseee
 
Wakati ule kijijini Kolomije ukiumwa na nge walikuwa wanaweka maji ya moto wanakukanda nayo halafu wanaweka tumbaku iliyosagwa (ugoro) mahali ulipoumwa. Sijui kama hii ilikuwa inasaidia cho chote kwa sababu maumivu ndiyo yalikuwa kama yanazidi. Maji ya moto nadhani ndiyo unapanua mishipa ya damu ili sumu isafiri kwa urahisi zaidi lakini ndiyo tiba za jadi hizo. Solace yangu ilikuwa ni katika ufahamu kwamba siwezi kufa kwa kuumwa na nge japo kuna jamii moja ya nge huko Atacama desert ikikutandika unaweza ku-RIP. Maumivu ni makali sana na utake usitake machozi yatakutoka tu hasa ukitandikwa na nge jike aisee ni shida. Na kesho yake ukikosea ukagusa maji ya baridi ngoma inaanza upya...
Nge jike harafu sasa liwe na mimba, maumivu yake si mchezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom