Makapuku Forum

Makapuku Forum

Anz kukemea kwanzq utajua ni nini,pia inategemea nq imani yako penda kumwaga maji ya baraka ndani ya nyumba nq mazingira au nunua mafuta ya mzeituni ,chumvi changanya kwenye maji, yaombee yawe damu ya Yesu,kwa imani mambo mengi yatabadilikq


Kuna mapaka yakikua kila siku yanalala dirishani kwangu na kulia vibayaaaa,nikaombea maji nikaweka chumvi nikaweka imani ,hakika baada ya wiki nilsikia harufu za ajabu,yalikufa
Amen mama mtumishi
 
3090bd64f715fe0096c15ee6d1836ccc.jpg






56a338b6c2aff2bb8fff6699787b560f.jpg
nimependa BINDUKI zao
 
Naunga mkono hoja yako.

Pele amechukua World Cup mara 3 lakini hakuwahi kuwa mfungaji bora au hata mchezaji bora.

Mwaka 1958 wanachukua kombe la Dunia Pele alikuwa ndio chipukizi.

Mwaka 1962 wanachukua Kombe la Dunia staa wa michuano alikuwa Mane Garrincha. Pele alicheza mechi mbili tu.

Mwaka 1970 wanachukua tena Kombe la Dunia pale Mexico. Staa wa michuano alikuwa Jaizinho ambaye alifunga goli kila mechi.

Lakini Maradona alikuwa ndio staa wa michuano pale alipoibeba Argentina mwaka 1986 na kutwaa Kombe la Dunia.

Pele alibebwa na mastaa wengine. Wakati Maradona ilibidi aibebe timu kwenye mgongo wake.
mkuu unaonekana wewe ni mutu ya zamani sana eeeeh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom