Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,930
.....alivyopotea mpaka huruma.....bonge la kiungo!!!Ni Kati ya wachezeshaji bora kabisa uwanjani na pia allijuta sana kuhama arsenal baada ya kukosa no Barcelona
.....alivyopotea mpaka huruma.....bonge la kiungo!!!Ni Kati ya wachezeshaji bora kabisa uwanjani na pia allijuta sana kuhama arsenal baada ya kukosa no Barcelona
Tununu kakaTwisa dada utwa kudasalamu
Pole sanaIla kuna siku nilikuwa site huko wilayani Bahi mida ya usiku nilikuwa niko na mrembo wa kigogo jirani nasi kulikuwa na mti, so ili kuweza kumlaghai yule manzi nilipitisha mkono kwa mabega yake ili awe close nami suddenly nilihisi kuchomwa na kitu ila nilipotezea nikidhani ni sungusungu mdudu kumbe ni nge, nilishtuka maumivu yalipozidi na mkono kuanza kuishiwa nguvu, yule manzi nilimuacha na kurejea nilipofikia. Nilijichanja kidogo na kukamua sumu ila sikulala usiku ule na asubuhi ndio mkono hauna nguvu kabisa.
After 20hrs nikapona kabisa
Alitoka wapi?Kemea utaisha,kuna wakati nulijua naogipa sana nyoka kila nikiingia ndani nawaza nyoka huwezi amini siku moja alfajiri nilijikuta nimebeba nyoka mgongoni![]()
![]()
nakung'uta akaanguka haa nikaitaa jina la Yesu nilipambana hadi kumuua,na nikaanza rasmi kukemea mfululizo limeisha hili jambo namshukuru Mungu
![]()
Kunywa konyagi chupa nzimaInaitwaje yaani hadi naogopa kusafiri..
Anaendelea vizuri 99%Asante anaendeleaje
Nilishuhudia tulipokuwa Kitonga watu walipewa mifuko ya plastic mwanzo sikuelewa ila baadae nikaelewaNawe unatapika?kuna case ni ngumu sana mtu akiingia tu kwenye chombo tayari![]()
Ahsante mama mchungajiPole sana
Aisee. Nitafanya hivyo. Hali hii imenifanya niwe msafi sana ili mende wasiweke makazi. Watu wananisifia kwa usafi uliopindukia kimo kumbe hawajui sababu yake. Uzuri hali hii haijitokezi mara kwa mara. Naweza kumaliza miezi sita hata mwaka halafu siku moja nikiona mende tu nightmare zinakuja.
Asante sana mtumishi. Halafu eti wanasema huku Makapuku hakuna lolote la maana!
Ena inganalonda inauli itinise kubhaponyaTununu kaka
Mwehu weweeeeeKunywa konyagi chupa nzima
Utafika salama kabisa mkuu
Karibu sana kakaEna inganalonda inauli itinise kubhaponya
Ni ugonjwa kabisa wengine wakifika mwisho wa safari iwe ndefu au fupi,hulazwa na kuwekewa drip,ni hatari ni bora kuzuia kuliko kuponyaNilishuhudia tulipokuwa Kitonga watu walipewa mifuko ya plastic mwanzo sikuelewa ila baadae nikaelewa
Asante dadaKaribu sana kaka
AiseeNi ugonjwa kabisa wenginebwakifika mwishobwa safari iwe ndefu au fupi,hulazwa na kuwekewa drip,ni hataribni borabkuzuia kuliko kuponya
Juzi nimehonja Red wine nimetapika balaa ndio hata sikuimeza niliiweka mdomoni tu..
HahahaJuzi nimehonja Red wine nimetapika balaa ndio hata sikuimeza niliiweka mdomoni tu..
Huku China hicho ni kitoweoMm kidogo ninshike kwenye kitasa asubuhi alikua kajivingirisha
