Makapuku Forum

Makapuku Forum

bb98d89f620e20c0df0e9692668b9e36.jpg

Upuuzi wa Wanasayansi

.......
GMO (Genetically Engineered Organisms) hizi. Bado hatujajua madhara yake sawa sawa japo wengi wanahofia miripuko mipya ya kansa na magonjwa mapya huko mbele ya safari. Monsanto - kampuni kubwa la Kimarekani linalojihusisha na umiliki (through patents ownership) na uuzaji wa mbegu tayari wameshafanikiwa kutengeneza mbegu za machungwa zilizochanganywa na DNA ya samaki. Kwa hivyo usishangae siku moja ukila chungwa halafu ukasikia harufu ya samaki. Ni hatari!
 
Yah ni kubwa kipesa na kwa promotion lakini kiubora epl bado sana.
Hata kiushindani.... England sasa timu sita zote zinaweza kuwa bing bingwa... Chelsea totenham Liverpool Man city Man United Arsenal........ Mbali ya washtukiziaji kama Leicester.
Spain -Real Madrid Barcelona
Germany -Bayern Munich
Italy -juventus AC Milan inter Milan
Kwa hio ushindani uko zaidi EPL.
 
GMO (Genetically Engineered Organisms) hizi. Bado hatujajua madhara yake sawa sawa japo wengi wanahofia miripuko mipya ya kansa na magonjwa mapya huko mbele ya safari. Monsanto - kampuni kubwa la Kimarekani linalojihusisha na umiliki (through patents ownership) na uuzaji wa mbegu tayari wameshafanikiwa kutengeneza mbegu za machungwa zilizochanganywa na DNA ya samaki. Kwa hivyo usishangae siku moja ukila chungwa halafu ukasikia harufu ya samaki. Ni hatari!
I see,nimewahi kula asali ina harufu na ladha ya machungwa wana sema nyuki wake wamkuwa restricted kwenye michungwa tu sikuelewa
 
GMO (Genetically Engineered Organisms) hizi. Bado hatujajua madhara yake sawa sawa japo wengi wanahofia miripuko mipya ya kansa na magonjwa mapya huko mbele ya safari. Monsanto - kampuni kubwa la Kimarekani linalojihusisha na umiliki (through patents ownership) na uuzaji wa mbegu tayari wameshafanikiwa kutengeneza mbegu za machungwa zilizochanganywa na DNA ya samaki. Kwa hivyo usishangae siku moja ukila chungwa halafu ukasikia harufu ya samaki. Ni hatari!
Na vipi kuhusu kuku wa mayai wanaokula na kutaga bila ya Jogoo?
 
GMO (Genetically Engineered Organisms) hizi. Bado hatujajua madhara yake sawa sawa japo wengi wanahofia miripuko mipya ya kansa na magonjwa mapya huko mbele ya safari. Monsanto - kampuni kubwa la Kimarekani linalojihusisha na umiliki (through patents ownership) na uuzaji wa mbegu tayari wameshafanikiwa kutengeneza mbegu za machungwa zilizochanganywa na DNA ya samaki. Kwa hivyo usishangae siku moja ukila chungwa halafu ukasikia harufu ya samaki. Ni hatari!
e1fa4db8449bf8848e00315af64bf573.jpg

Waswahili husema ujanja mwingi ni ujinga
.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom