Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yes nadhani panya wana uwezo mkubwa,nimewahi ona panya wanatumika kunusa specimen ii kupima TB ,na ikipimwa kwa madawa inakuwa positive kama panya aivyokuta,asilimia kubwa,na pia panya walifunzwa kutegua mabomu ya ardhini nimewahi ona wakiwa mafunzoni,very interesting,nadhani wakipewa brain cells za binadamu watafanya mengi zaidi,.
Mtumishi. Majaribio ya aina hii ni unethical kwa sababu implications zake ni hatari mno. Cross-breeding, DNA crossing/splicing na uhamishaji huu wa seli za ubongo hautakiwi kuachiwa tu ufanyike kiholela. Kuna siku atatokea rogue scientist huko North Korea achanganye DNA ya simba na binadamu kwenye lab ili kuzalisha wanajeshi wasioogopa halafu atuletee matatizo. Kama binadamu hatupaswi kuingilia uumbaji wa Mungu na kuanza kuhamisha DNA hovyo hovyo lakini huko ndiko tunakoelekea kwa sababu tiba za magonjwa mengi inaonekana zimejificha katika DNA na kwa kadri siku zinavyokwenda wanasayansi wanadai itafikia mahali wataweza kuzalisha binadamu asiyeugua wala kuzeeka.

Kama leo tunaweka brain cells za binadamu kwenye ubongo wa panya, vipi tukiweka kwenye ubongo wa simba, tiger au hata nyumbu? Tunacheza na moto!
 
Mtumishi. Majaribio ya aina hii ni unethical kwa sababu implications zake ni hatari mno. Cross-breeding, DNA crossing/splicing na uhamishaji huu wa seli za ubongo hautakiwi kuachiwa tu ufanyike kiholela. Kuna siku atatokea rogue scientist huko North Korea achanganye DNA ya simba na binadamu kwenye lab ili kuzalisha wanajeshi wasioogopa halafu atuletee matatizo. Kama binadamu hatupaswi kuingilia uumbaji wa Mungu na kuanza kuhamisha DNA hovyo hovyo lakini huko ndiko tunakoelekea kwa sababu tiba za magonjwa mengi inaonekana zimejificha katika DNA na kwa kadri siku zinavyokwenda wanasayansi wanadai itafikia mahali wataweza kuzalisha binadamu asiyeugua wala kuzeeka.

Kama leo tunaweka brain cells za binadamu kwenye ubongo wa panya, vipi tukiweka kwenye ubongo wa simba au tiger? Tunacheza na moto!
Hatari sana, wataalamu wa DNA wanasema sisi binadamu tunatumia 4%tu ya DNA zetu, je 96% ziko wapi na zinatumikaje?
 
Mtumishi. Majaribio ya aina hii ni unethical kwa sababu implications zake ni hatari mno. Cross-breeding, DNA crossing/splicing na uhamishaji huu wa seli za ubongo hautakiwi kuachiwa tu ufanyike kiholela. Kuna siku atatokea rogue scientist huko North Korea achanganye DNA ya simba na binadamu kwenye lab ili kuzalisha wanajeshi wasioogopa halafu atuletee matatizo. Kama binadamu hatupaswi kuingilia uumbaji wa Mungu na kuanza kuhamisha DNA hovyo hovyo lakini huko ndiko tunakoelekea kwa sababu tiba za magonjwa mengi inaonekana zimejificha katika DNA na kwa kadri siku zinavyokwenda wanasayansi wanadai itafikia mahali wataweza kuzalisha binadamu asiyeugua wala kuzeeka.

Kama leo tunaweka brain cells za binadamu kwenye ubongo wa panya, vipi tukiweka kwenye ubongo wa simba au tiger? Tunacheza na moto!
Kweli ,kuna clip nimeiona simba anamshambulia binadamu nimeogopa sana kweli wakizalishwa askari simba kumi tu korea hatarii
 
Mtumishi. Majaribio ya aina hii ni unethical kwa sababu implications zake ni hatari mno. Cross-breeding, DNA crossing/splicing na uhamishaji huu wa seli za ubongo hautakiwi kuachiwa tu ufanyike kiholela. Kuna siku atatokea rogue scientist huko North Korea achanganye DNA ya simba na binadamu kwenye lab ili kuzalisha wanajeshi wasioogopa halafu atuletee matatizo. Kama binadamu hatupaswi kuingilia uumbaji wa Mungu na kuanza kuhamisha DNA hovyo hovyo lakini huko ndiko tunakoelekea kwa sababu tiba za magonjwa mengi inaonekana zimejificha katika DNA na kwa kadri siku zinavyokwenda wanasayansi wanadai itafikia mahali wataweza kuzalisha binadamu asiyeugua wala kuzeeka.

Kama leo tunaweka brain cells za binadamu kwenye ubongo wa panya, vipi tukiweka kwenye ubongo wa simba au tiger? Tunacheza na moto!
Unaendeleaje lakini?pole Ubarikiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom