BvbSlash
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 233
- 552
Licha ya kwamba bingwa hajabadilika lakini ubora wa wachezaji na ligi kwa ujumla bundesliga is more far away kuliko EPL,Ligi ambao bingwa habadiliki inaboa.....inaonesha gap kubwa kati yao
Matokeo yake wachezaji wote wanataka wasajiliwe Bayern
......
