Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hili bado ni fumbo kubwa. Wanasema kuwa siku tukiweza kusoma kila code na kuelewa kila kitu kilichomo basi si ajabu tutaweza kufumbua mafumbo yote ya maisha yetu - tumetoka wapi? Kwa nini tuko hapa? Kwa nini tunazeeka? Kwa nini huwa tunaugua? Twaweza kuishi milele? The possibilities are endless! Wanasema siri zote - ikiwemo kama kuna ndugu zetu wengine huko katika sayari na malimwengu (universes) mengine pengine zimefichwa katika DNA zetu. Ndiyo maana Genetics bado ni mojawapo ya nyanja za sayansi zinazosisimua sana tangu mlango ufunguliwe na mtawa Gregory Mendel zaidi ya miaka 120 iliyopita.
Uko sahihi kabisa, fanya siku moja utumegee japo kwa uchache mambo ya DNA
 
9a3ba3ff2ac3b5acf1a2d91eba0b5e16.jpg
Huku kwetu kuna mtu anandimu hazina mbegu ni kubwa mnooo na zina maji mengiii ukitaka kupanda uwe na mti mbegu hakuna,na mti wake unazaaa sana
 
Hili bado ni fumbo kubwa. Wanasema kuwa siku tukiweza kusoma kila code na kuelewa kila kitu kilichomo basi si ajabu tutaweza kufumbua mafumbo yote ya maisha yetu - tumetoka wapi? Kwa nini tuko hapa? Kwa nini tunazeeka? Kwa nini huwa tunaugua? Twaweza kuishi milele? The possibilities are endless! Wanasema siri zote - ikiwemo kama kuna ndugu zetu wengine huko katika sayari na malimwengu (universes) mengine pengine zimefichwa katika DNA zetu. Ndiyo maana Genetics bado ni mojawapo ya nyanja za sayansi zinazosisimua sana tangu mlango ufunguliwe na mtawa Gregory Mendel zaidi ya miaka 120 iliyopita.
Mkuu hebu tumegee kidogo kuhusu Gregory Mendel
 
Nimegundua kitu katika muziki wa zamani ni kwamba hauchuji ladha pia hauchuji katika kuusikiliza, ndio maana mtaasisi Obe anapenda vitu old.

Mama mchungaji nimekuletea wimbo ulioimbwa miaka 10 iliyopita waimbaji wake wakiwa ni Jacquiline Ntuyabaliwe (Mrs Mengi) akimshirikisha Bushoke Nalia kwa furaha

Cc BlessedHope
Cc Obe
 
Madenge umezidisha sasa. Teknolojia hii ina faida nyingi lakini, kama ilivyo kawaida ya teknolojia nyingi nyingine, inawezekana ikawa na madhara makubwa zaidi. Japo imeweza kutupatia mazao yanayokomaa kwa muda mfupi, yanayostahimili ukame, yasiyoshambuliwa na magonjwa hovyo hovyo, yenye virutubisho vingi zaidi na yasiyohitaji uangalizi wa karibu (mfano kupaliliwa mara kwa mara), madhara yake bado hayajaeleweka sawa sawa; na inatakiwa isimamiwe ili isitumiwe vibaya.
 
Huku kwetu kuna mtu anandimu hazina mbegu ni kubwa mnooo na zina maji mengiii ukitaka kupanda uwe na mti mbegu hakuna,na mti wake unazaaa sana
Napendelea vitu vya kienyeji
Huwezi kunilisha natikiti yenye rangi km kombati za jeshi
Pia napenda mafuta ya mawese cha ajabu nikienda kijijini wananipikia mafuta ya kisasa
.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom