Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Pamoja mkuuSalama tu kamanda
Pamoja mkuuSalama tu kamanda
Nitamtapataje huyoHuku kwetu kuna mtu anandimu hazina mbegu ni kubwa mnooo na zina maji mengiii ukitaka kupanda uwe na mti mbegu hakuna,na mti wake unazaaa sana
Mndali pamoja sanaAsante mkuu nashukuru sana
Kapuku wote wako salamaJamani hakuna kapuku aliyekutana na rungu la vyeti feki?
Mshikaji wangu Ziro kibarua chake serikalini mwisho leo halafu jinsi alivyokuwa na dharau na nyodo sijui ataishi vipi kitaa
Pole sana Ziro
![]()
![]()
![]()
![]()
.......
Hahaha...Sina namna shululuPoa kabisa mkuu, kama kawaida usiku kwa usiku
Sawa mkuu nimesha zipata kutoka kwa shululuBei anazijua mama mchungaji mkuu
Bob...hili jina lako halina kifupi??Sawa mkuu nimesha zipata kutoka kwa shululu
Mmmh mimi na familia yangu mtuombeee tu,kuna ndugu zangu wamenipigia simu yamewakuta,bado wadogo wala hatukujua..nimewashauri waje kwanza maana wako katika wakati mgumu wana shock na kukata tamaa,nawaombea amani wote waliopata shida hii na Mungu awatie nguvu maana ni ngumu kupokea ila ndio limeshatokea .Makapuku wengi wapo private sector
Sawa dadaInawezekana ninayo muda mrefu
Tanga kuna minazi inazaa baada ya miaka mitatuMadenge umezidisha sasa. Teknolojia hii ina faida nyingi lakini, kama ilivyo kawaida ya teknolojia nyingi nyingine, inawezekana ikawa na madhara makubwa zaidi. Japo imeweza kutupatia mazao yanayokomaa kwa muda mfupi, yanayostahimili ukame, yasiyoshambuliwa na magonjwa hovyo hovyo, yenye virutubisho vingi zaidi na yasiyohitaji uangalizi wa karibu (mfano kupaliliwa mara kwa mara), madhara yake bado hayajaeleweka sawa sawa; na inatakiwa isimamiwe ili isitumiwe vibaya.
Kwani na walinzi wana vyeti??Kapuku wote wako salama
Hahaha...una uhakika kiongoziMakapuku wengi wapo private sector
Vitu vya kienyeji ni vizuri sana mimi nakula dona ,huwa napata changamoto ndugu zangu wakija toka kijijini, hakika hawafurahii dona inabidi niwaandalie unga waoNapendelea vitu vya kienyeji
Huwezi kunilisha nafikiri yenye rangi km kombati za jeshi
Pia napenda mafuta ya mawese cha ajabu nikienda kijijini wananipikia mafuta ya kisasa
.......
Mayai yaliyorutubishwaHivi kuku anahitaji jogoo ndiyo atage mayai? Au anahitaji jogoo ili atage mayai yaliyorutubishwa? Wafuga kuku hasa wale wa mayai bila shaka mnajua...
Makapuku wengi wapo private sector
Nasikia mkongo kafyekwaKapuku wote wako salama
Yupo muda woteNitamtapataje huyo
Pamoja mkuu

Hili ni janga kubwa, shemeji zangu wawili limewakumbaMmmh mimi na familia yangu mtuombeee tu,kuna ndugu zangu wamenipigia simu yamewakuta,bado wadogo wala hatukujua..nimewashauri waje kwanza maana wako katika wakati mgumu wana shock na kukata tamaa,nawaombea amani wote waliopata shida hii na Mungu awatie nguvu maana ni ngumu kupokea ila ndio limeshatokea .
Mzima mkuuHello
Nabashiri tuHahaha...una uhakika kiongozi