Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
mekumiss baba mchuchu wetuShunie
mekumiss baba mchuchu wetuShunie
Kama unaongea kweli, sema kweli yote....usifiche kitunikiongea ukweli unakataa acha tu nifate miuongo yako
Njema njema, tunasonga kwa Neema za MunguBwana Yesu asifiwe mkuu za uzima![]()
a.k.a Muhogo wa Jang'ombeUle wa Tatu...
Ule uliokaa katikati ya miguu mingine 2..
Mguu mfupi kuliko mingine.
Mguu wenye msuli kupita mingine..
Mguu ambao haukanyagi chini
Mguu ambao ni.. kama sponji ...
![]()
![]()
![]()
![]()



Si makapuku hawaekeweki......sina namnaaisee kwahiyo unawabadili tu
hahahhaNjema njema, tunasonga kwa Neema za Mungu
mm sijui kitu acha tu nifate unavyoongeaKama unaongea kweli, sema kweli yote....usifiche kitu
Aiseeea.k.a Muhogo wa Jang'ombe![]()
Hapo US hata akikata bajeti yake kwa 50% bado ni kinara!!!List ya nchi 5 zilizotumia fedha nyingi kwa ajili ya majeshi 2016
![]()
Inaelezwa kuwa sifa ya nchi yoyote ni uwezo wa Jeshi lake katika kujilinda na kupambana kwa ajili ya wananchi ambapo tumekuwa tukishuhudia gharama inayotumika kuhakikisha Idara hiyo inaimarika kwa kulipa mishahara minono na kununua vifaa vya kisasa.
Kwa mujibu wa Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm ‘SIPRI’ zimetajwa nchi 5 zinazotumia fedha nyingi zaidi kwa ajili ya Jeshi hadi kufikia 2016 zikiongozwa na Marekani.
SIPRI imesema kuwa matumizi ya dunia katika majeshi yaliongezeka hadi Dollar 1.7 trillion mwaka 2016 ambapo Marekani inasalia kinara kwa kutumia fedha nyingi kwenye jeshi mwaka 2016 ambapo matumizi yameongezeka kwa 1.7% kuifanya ifikishe Dollar 611 billion.
China ilitumia Dollar 215 billion na kuifanya kukamata katika nafasi ya pili huku Urusi ikikamata nafasi ya tatu ikitumia Dollar 69.2 billion. Saudi Arabia inakamata nafasi ya nne ikitumia Dollar 63.7 billion na India katika nafasi ya tano ikitumia Dollar 55.9 billion.
![]()
Ndio chanzo cha yule kaka kuparuliwa mgongo na mikucha..mfyuuuu kwahiyo una nn huo mguu
hahahhah tetra ww unapoelekea kubayaSi makapuku hawaekeweki......sina namna
Kimbumbu...Halafu jamaa mwenyewe kibumbu dah! Yeye na Shunie nadhani wana kihistoria fulani hivi ka kutafutana tafutana. Uzuri wa Shunie unazuzua wengi hapa Makapuku na JF kwa ujumla!![]()

hahahha nafanyaje sasaHahaha....unaniita mlinzi kbs!!!![]()
![]()
Hahahaaa..a.k.a Muhogo wa Jang'ombe![]()

Hahahaaa...kwakweli na isiwezekane watu watauana
Nikidanganya vipi??mm sijui kitu acha tu nifate unavyoongea
Afu shunie hajui tuu...Hata-left![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yes! ja.....Ja!!!![]()
![]()
![]()
