shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Sana, na wadada nyinyi ndio mnaongoza kwa kubambikiahiki kipimo kisifike tu huku watu watauana
Sana, na wadada nyinyi ndio mnaongoza kwa kubambikiahiki kipimo kisifike tu huku watu watauana
Binadamu amekazana kujirundikia haya masilaha wakati kasayari kenyewe haka haka kamoja. Akikanyuka na kukafanya kasikalike tena sijui atakimbilia wapi. Sayari ya karibu inayoaminika pengine ku-support uhai iko umbali wa 110 light years na kwenda huko kwa teknolojia ya sasa haiwezekani. Ujinga mtupu!List ya nchi 5 zilizotumia fedha nyingi kwa ajili ya majeshi 2016
![]()
Inaelezwa kuwa sifa ya nchi yoyote ni uwezo wa Jeshi lake katika kujilinda na kupambana kwa ajili ya wananchi ambapo tumekuwa tukishuhudia gharama inayotumika kuhakikisha Idara hiyo inaimarika kwa kulipa mishahara minono na kununua vifaa vya kisasa.
Kwa mujibu wa Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm ‘SIPRI’ zimetajwa nchi 5 zinazotumia fedha nyingi zaidi kwa ajili ya Jeshi hadi kufikia 2016 zikiongozwa na Marekani.
SIPRI imesema kuwa matumizi ya dunia katika majeshi yaliongezeka hadi Dollar 1.7 trillion mwaka 2016 ambapo Marekani inasalia kinara kwa kutumia fedha nyingi kwenye jeshi mwaka 2016 ambapo matumizi yameongezeka kwa 1.7% kuifanya ifikishe Dollar 611 billion.
China ilitumia Dollar 215 billion na kuifanya kukamata katika nafasi ya pili huku Urusi ikikamata nafasi ya tatu ikitumia Dollar 69.2 billion. Saudi Arabia inakamata nafasi ya nne ikitumia Dollar 63.7 billion na India katika nafasi ya tano ikitumia Dollar 55.9 billion.
![]()
Dah.. Mihangaikomissing you too kibumbu
mbona umepotea hivi
Halafu jamaa mwenyewe kibumbu dah! Yeye na Shunie nadhani wana kihistoria fulani hivi ka kutafutana tafutana. Uzuri wa Shunie unazuzua wengi hapa Makapuku na JF kwa ujumla!Acha tabia za kumissi wake za watu...siku nyingine utamisi visivyomisika
karibu tenaDah.. Mihangaiko
Ule mguu wake mfupi?kwa lee naonaga vingi sijui nini unaisema
shemela unaongea na mm au unaongea na simuSana, na wadada nyinyi ndio mnaongoza kwa kubambikia
musukuma jamaanHalafu jamaa mwenyewe kibumbu dah! Yeye na Shunie nadhani wana kihistoria fulani hivi ka kutafutana tafutana. Uzuri wa Shunie unazuzua wengi hapa Makapuku na JF kwa ujumla!![]()

mguu gani mfupi mbona miguu yake yote miwili ipo sawaUle mguu wake mfupi?
Dah nilikua napita kwenye uzi wa saint ivuga "chumbani kwa dereva bajaj"karibu tena
Kwa nini shemelashemela unaongea na mm au unaongea na simu
To Tz haiwezekani...Kotekote kutakuwa na madhara, kwa mama na baba wa mtoto mtarajiwa
Kwa vyeupe, hajui kama vilimponza mbuzimusukuma jamaan![]()
Ule wa Tatu...mguu gani mfupi mbona miguu yake yote miwili ipo sawa

eeeh kumefanyaje tena chumbani kwa dereva wa bajaji eb nipe storyDah nilikua napita kwenye uzi wa saint ivuga "chumbani kwa dereva bajaj"
hahahhh kwa yale maneno uliyoongea nilijua unaongea na simuKwa nini shemela
Shuniemukongo
kwakweli na isiwezekane watu watauanaTo Tz haiwezekani...
Naamini inawezekana kwa nchi zenye Data base za kila raia wake kitu ambacho pia ni kigumu kuwa na data ambazo eti mimba inajulikana ni ya nani...
Lazima uwe na biological data za mtu husika hasa:
-Blood Group na DNA
sasa ni kweli kila mtoto akizaliwa huwa anachukuliwa hizo biological data?
hahahah we muacheKwa vyeupe, hajui kama vilimponza mbuzi
mfyuuuu kwahiyo una nn huo mguuUle wa Tatu...
Ule uliokaa katikati ya miguu mingine 2..
Mguu mfupi kuliko mingine.
Mguu wenye msuli kupita mingine..
Mguu ambao haukanyagi chini
Mguu ambao ni.. kama sponji ...
![]()
![]()
![]()
![]()