BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Karibu dear,za uzima?Mungu akubarikiasante mama mchuchu kwa neno barikiwa sana

Karibu dear,za uzima?Mungu akubarikiasante mama mchuchu kwa neno barikiwa sana

Meno yako hivyo? Tatizo yeye amekaririmbona amesema meno ya mwanamke imemn'gata
namshkuru Mungu mama mchuchu hofu kwako tuKaribu dear,za uzima?Mungu akubariki![]()
Morning mama mtumishiTunasubiri mkuu
Aligeuka adui wa Waingereza zen yakaisha maana ni kipenzi chaoBeckham alifanya ujinga sana, ila amshukuru Ericsson kwa kumrudisha kwenye mstari
Leicester tu kamsumbuaSafari hii naona timu haichezi vizuri
Jana uliadimika sanaTunasubiri mkuu
na mm ndio nilishan'gaa angejua kuna baadhi ya wanaume wanapenda michirizi wakionaMeno yako hivyo? Tatizo yeye amekariri
Skurani kiongoziJe Wajua:-
Baadhi ya wanyama jamii ya Mamba humeza mawe na kukaa nayo tumboni kwa muda mrefu. Mawe haya huitwa "gasrolith"
Mawe haya humsaidia mamba mambo yafuatayo;
1: Humsaidia aweze kuwa na uzito utakaowafanya wazame kina kirefu zaidi kwenye maji.
2: Humsaidia kusaga chakula tumboni.
3: Hufanya tumbo liwe na uzito na kujisikia
ameshibaView attachment 502073
Kila mwanaume ana ugonjwa wake wa kupendana mm ndio nilishan'gaa angejua kuna baadhi ya wanaume wanapenda michirizi wakiona
Huu ni ugonjwa ni vericose vein zimevimba,huwapata sana wamama katika hatua z a ubebaji ujauzito zikizidi inabidi upasuliwe na wataalamu ni wachache mno wa kumanage tatizo hilo,sifahamu mwenye picha hii kama amepitia changamoto gani ya afya..![]()
Dada zetu kwa nini mnafuga kucha ndefu mnatuumiza
na kweli na ww unapenda nn shemela ugonjwa wakoKila mwanaume ana ugonjwa wake wa kupenda
1987 - Zoran Tosic anazaliwa.
Winga wa zamani wa Man Utd na sasa anakipiga CSKA Moscow.
Alichemsha vibaya enzi akiwa Man Utd.
Tuko pamoja chiefSkurani kiongozi
...
HBD Jesca Alba1981 - Jessica Alba anazaliwa.
Mwanamitindo wa Kimarekani.
HBD Diego Simione1970 - Diego Simione anazaliwa.
Mchezaji wa zamani na kocha wa sasa wa Atletico Madrid na timunya taifa ya Argentina.
Moja ya wachezaji watukutu enzi anacheza soka na sasa akiwa mmoja kati ya makocha vijana wahamasishaji.
1988 - Juan Mata anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Valencia, Chelsea na Man Utd.
Pia huchezea timu ya taifa ya Hispania ambapo tayari ameshinda Kombe la Dunia na Kombe la mataifa ya Ulaya.
RIP Mohamed Faoud Khan1978 - Rais wa Afghanstan Mohammed Daoud Khan anapinduliwa na kuuwawa katika Jaribio la Mapinduzi lililofanuwa na waasi.
Ahsante kwa ufafanuziHuu ni ugonjwa ni vericose vein zimevimba,huwapata sana wamama katika hatua z a ubebaji ujauzito zikizidi inabidi upasuliwe na wataalamu ni wachache mno wa kumanage tatizo hilo,sifahamu mwenye picha hii kama amepitia changamoto gani ya afya..