Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Alitoa mapendekezo katiba ibadilishwe Wananchi wakagoma akaamua ajiuzulu.![]()
![]()
Sababu?
.....
Alitoa mapendekezo katiba ibadilishwe Wananchi wakagoma akaamua ajiuzulu.![]()
![]()
Sababu?
.....
1978 - Rais wa Afghanstan Mohammed Daoud Khan anapinduliwa na kuuwawa katika Jaribio la Mapinduzi lililofanuwa na waasi.
1994 - Wakala wa zamani wa CIA, Aldrich Ames anakiri kosa la kuuza siri za Marekani kwa Urusi na kupelekea kufungwa kifungo cha Maisha.
1924 - Kenneth Kaunda anazaliwa.
Rais wa kwanza wa Zambia maarufu kama Mzee wa Kitambaa cheupe.
1936 - Tariq Aziz anazaliwa.
Waziri wa zamani wa Habari katika utawala wa Saddam Hussein.
Alikuwa anatoa habari za uongo kuhusu vita dhidi ya uvamizi wa Marekani kwamba bado Wamarekani hawajavamia ardhi yao.
Alitoa mapendekezo katiba ibadilishwe Wananchi wakagoma akaamua ajiuzulu.
Shukrani kwa majibu muruaNdio mkuu. Marekani akakimbia na kukubali yaishe.
Vietnam ikawa moja.
AmenAsante mkuu Bitoz kwa picha za historia ubarikiwe uwe n siku njema
Happy birthday1981 - Jessica Alba anazaliwa.
Mwanamitindo wa Kimarekani.
Jessica 1988 - Juan Mata anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Valencia, Chelsea na Man Utd.
Pia huchezea timu ya taifa ya Hispania ambapo tayari ameshinda Kombe la Dunia na Kombe la mataifa ya Ulaya.
1988 - Juan Mata anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Valencia, Chelsea na Man Utd.
Pia huchezea timu ya taifa ya Hispania ambapo tayari ameshinda Kombe la Dunia na Kombe la mataifa ya Ulaya.
Asante musollin kwa historiaLeo katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema.
mwanaume akikuchoka lazima akupe sbbu masikini jokate huna bahati ya wanaume wala kupendwa kujitoa kote kule na mapenzi yako yote unaambiwa hivyo pole sana
asante shemela kwa magazetiView attachment 502007Mpaka hapo Sina la ziada kwenye magazeti ya leo kwa udhamini mnono wa Nyagei
Mzee Kaunda Na Nyerere walikuwa marafiki sana![]()
![]()
Ndio baba wa Taifa la Zambia?
...
hahaha bongo kusingetoshaTongotongo la Asubuhi![]()
Mwaka 2010 katika hospitali moja huko London Uingerrza wsnandoa Wa Kinigeria walibahatoka kupata mtoto "mweupe" mwenye macho ya blue na ngozi nyeupe km wazungu
Wanandoa hao wote ni Waafrika weusi
Ingekuwa Bongo lingeibuka timbwili mpaka basi
Asubuhi njema
.............
Ni suti ambazo hazivaliwi na tai mara nyingi hazina kolaNdiye mwasisi wa suti za kaunda
Na kuna mtaa maarufu wa kaunda, upo osterbay
Asante shemelaasante shemela kwa magazeti
asante mama mchuchu kwa neno barikiwa sanaUNAWEZA KUAMUA KUENDELEA MBELE
Vipo vitu vingi katika maisha tukivikumbuka kwa kweli vinatosha kutuweka chini .Mengi yanatokea katika maisha,kupoteza na kupata,kuachwa ,kufiwa na wapendwa wazazi,ndugu,jamaa,marafiki,mume au mke,kutukanwa,kutukuzwa,kusalitiwa,kuumizwa ,kufukuzwa,kupata magonjwa yasiyo na dawa,kuuguliwa na wapendwa wetu,kukata tamaa,kukosa watoto,lolote laweza kutokea.
SASA,shida sio hayo kutokea,shida yanapotokea tunafanya nini?
Kutokea yanaweza kutokea at some point as long as tunaishi.
Sasa kile mtu anafanya baada ya kukutana na hayo yote ndio inaleta utofauti kati ya mtu na mtu.
Ni MWIKO na KASHFA ndani ya UFALME WA MUNGU kwa mtu anayeitwa MWANA WA MUNGU kushindwa kuendelea mbele sababu ya mazito yaliyowahi kutokea in the past.
Mwingine umepoteza mtu muhimu,wale uliokua unawategemea wameghairi kukupa msaada stahili waliokuahidi,umepata ugonjwa ambao madaktari wamesema hauna tiba,umetukanwa na uliowasaidia.
SIKIA tunapokuwa tumempokea YESU,biblia inasema tunakua tumepokea HAKI ya kufanyika WANA WA MUNGU YOHANA 1:12
1YOH.5:6. INASEMA KILA KILICHOZALIWA NA MUNGU HUUSHINDA ULIMWENGU,HUO ULIMWENGU NDIO HAYA YOTE TUNAYOKUTANA NAYO HUKU DUNIANI
SIKIA,tayari una nguvu ya kushinda ndani yako.![]()
STEP ON THEM ,MOVE FORWARD
MENGINE SI MAKOSA YAKO KUWA YAMETOKEA WALA HUKUFANYA MAOMBI YAKUKUTE HAMNA HAJA YA KUJUTA MPAKA UNASHINDWA KUFANYA MAMBO YA MSINGI.
AMUA LEO KUACHA YALIYOPITA YAWE YAMEPITA,ENDELEA MBELE .MBELE KUNA MEMA ZAIDI.
MUNGU ATUSAIDIE SANA MBARIKIWE![]()
![]()
BABA,ni siku mpya tunaomba uwe nasi,tuepushe na hatari za mwili na roho,nyoosha mapito yetu,tukutafute kwa bidii tusimamie tusiangamie,bariki kazi za mikono yetu,mapenzi yako yatimizwe Amen![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
R.i.p mussolin1945 - Benito Mussolini na mkewe Clara Petacci wanauwawa na kuning'inizwa huko Italy.
Aiseee![]()
![]()
![]()
Aliyeua kwa upanga huuwawa kwa upanga
Wana bahati hawakuvuliwa nguo km Samuel Doe
.....
happy birthday to her1981 - Jessica Alba anazaliwa.
Mwanamitindo wa Kimarekani.