shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Pamoja sana NyageiAhsante mkuu kwa magazeti mubashara
Pamoja sana NyageiAhsante mkuu kwa magazeti mubashara
1945 - Benito Mussolini na mkewe Clara Petacci wanauwawa na kuning'inizwa huko Italy.
Ndiye mwasisi wa suti za kaunda1924 - Kenneth Kaunda anazaliwa.
Rais wa kwanza wa Zambia maarufu kama Mzee wa Kitambaa cheupe.
Alikuwa mtu maarufu sana kwenye vita hiyo, press yake ya mwisho na waandishi aliwaambia marekani hawezi kuingia Baghdad, wakati huo yeye akiwa karibu na majeshi ya marekani umbali kama mita 1001936 - Tariq Aziz anazaliwa.
Waziri wa zamani wa Habari katika utawala wa Saddam Hussein.
Alikuwa anatoa habari za uongo kuhusu vita dhidi ya uvamizi wa Marekani kwamba bado Wamarekani hawajavamia ardhi yao.
Kuhusu Uyoga ni tukio la muda lina wiki na zaidi, hapo walitakiwa watupe mrejesho kutoka kwa mkemia maana waposhachukua sample kwa utafiti
Marekani wabaya sana, wakamuua mzee wa watu bila hatia, kitendo hicho huwa kinamuumiza sana waziri mkuu wa Uingereza Tony Blair1937 - Saddam Hussein anazaliwa.
Dikteta wa zamani wa Iraq na Rais wa 5 wa nchi hiyo.
Happy birthday1981 - Jessica Alba anazaliwa.
Mwanamitindo wa Kimarekani.
JessicaUngekuwa ni ubushokeTongotongo la Asubuhi![]()
Mwaka 2010 katika hospitali moja huko London Uingerrza wsnandoa Wa Kinigeria walibahatoka kupata mtoto "mweupe" mwenye macho ya blue na ngozi nyeupe km wazungu
Wanandoa hao wote ni Waafrika weusi
Ingekuwa Bongo lingeibuka timbwili mpaka basi
Asubuhi njema
.............
1967 - Bondia Muhammad Ali anagoma kwenda kwenye Vita ya Vietnam na matokeo yake akanyang'anywa Mkanda wake wa Ubingwa wa Dunia.
UNAWEZA KUAMUA KUENDELEA MBELE
Vipo vitu vingi katika maisha tukivikumbuka kwa kweli vinatosha kutuweka chini .Mengi yanatokea katika maisha,kupoteza na kupata,kuachwa ,kufiwa na wapendwa wazazi,ndugu,jamaa,marafiki,mume au mke,kutukanwa,kutukuzwa,kusalitiwa,kuumizwa ,kufukuzwa,kupata magonjwa yasiyo na dawa,kuuguliwa na wapendwa wetu,kukata tamaa,kukosa watoto,lolote laweza kutokea.
SASA,shida sio hayo kutokea,shida yanapotokea tunafanya nini?
Kutokea yanaweza kutokea at some point as long as tunaishi.
Sasa kile mtu anafanya baada ya kukutana na hayo yote ndio inaleta utofauti kati ya mtu na mtu.
Ni MWIKO na KASHFA ndani ya UFALME WA MUNGU kwa mtu anayeitwa MWANA WA MUNGU kushindwa kuendelea mbele sababu ya mazito yaliyowahi kutokea in the past.
Mwingine umepoteza mtu muhimu,wale uliokua unawategemea wameghairi kukupa msaada stahili waliokuahidi,umepata ugonjwa ambao madaktari wamesema hauna tiba,umetukanwa na uliowasaidia.
SIKIA tunapokuwa tumempokea YESU,biblia inasema tunakua tumepokea HAKI ya kufanyika WANA WA MUNGU YOHANA 1:12
1YOH.5:6. INASEMA KILA KILICHOZALIWA NA MUNGU HUUSHINDA ULIMWENGU,HUO ULIMWENGU NDIO HAYA YOTE TUNAYOKUTANA NAYO HUKU DUNIANI
SIKIA,tayari una nguvu ya kushinda ndani yako.![]()
STEP ON THEM ,MOVE FORWARD
MENGINE SI MAKOSA YAKO KUWA YAMETOKEA WALA HUKUFANYA MAOMBI YAKUKUTE HAMNA HAJA YA KUJUTA MPAKA UNASHINDWA KUFANYA MAMBO YA MSINGI.
AMUA LEO KUACHA YALIYOPITA YAWE YAMEPITA,ENDELEA MBELE .MBELE KUNA MEMA ZAIDI.
MUNGU ATUSAIDIE SANA MBARIKIWE![]()
![]()
BABA,ni siku mpya tunaomba uwe nasi,tuepushe na hatari za mwili na roho,nyoosha mapito yetu,tukutafute kwa bidii tusimamie tusiangamie,bariki kazi za mikono yetu,mapenzi yako yatimizwe Amen![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Maisha matamu1967 - Bondia Muhammad Ali anagoma kwenda kwenye Vita ya Vietnam na matokeo yake akanyang'anywa Mkanda wake wa Ubingwa wa Dunia.
CoolOyoooo niaje mandugu hope mko poa..