Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
Leo katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema.
Niwatakie Ijumaa njema.
Wasipoangalia watakuwa nafasi ya tano soonIla jana city hawakuwa na bahati tu
Pamoja sana Nyagei

Hahaha...sawa mkuuNdiye mwasisi wa suti za kaunda
Na kuna mtaa maarufu wa kaunda, upo osterbay
Sawa nitamchekiNdio
Alikuwa Moja ya kivutio cha vita ile. Hakukata tamaa mpaka mwisho.Alikuwa mtu maarufu sana kwenye vita hiyo, press yake ya mwisho na waandishi aliwaambia marekani hawezi kuingia Baghdad, wakati huo yeye akiwa karibu na majeshi ya marekani umbali kama mita 100
1969 - Charles De Gaulle anajiuzulu Urais wa Ufaransa.
Ubarikiwe kwa historia mkuu Mussolin5,uwe na siku njema piaLeo katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema.
Marekani wanafki sana.Marekani wabaya sana, wakamuua mzee wa watu bila hatia, kitendo hicho huwa kinamuumiza sana waziri mkuu wa Uingereza Tony Blair
Amen karibu sana mkuu![]()
![]()
![]()
![]()
Ahsante kwa neno la asubuhi mama mchungaji Ubarikiwe
Shukrani mkuu Mussolin5 kwa historia mujarabuLeo katika Historia:
Niwatakie Ijumaa njema.
Asante mkuu kwa nyongeza.
Ilikuwa na baada ya USA kigaragazwa na Wavoetnam ambao ni maarufu kwa kuvaa makofia ya mikeka hivyo wakaamua kuanza kuokoteza raia mitaani ndio Alli akagoma akaiambia serikali hawezi kwenda kupigana na Taifa ambao hajawahi kuona likimnyanyasa au kumfanya mtumwa wala kumuonea raia yoyote wa Marekani....seroikali ikakasirika kwa kuambiwa ukweli unaouma halafu akashinda kesi Mahakamani na kurudishiwa mataji yake![]()
![]()
Huyo ndo Muhammad Alli asiyependa "Ndio mzee" na wala kupelekeshwa kiboyaboya
Sasa kwa wale mnaofikia vita dhidi ya Korea Kasjazini itakuwa rahisi mnajidanganya
.....
AmenUbarikiwe kwa historia mkuu Musdolin5,uwe na siku njema pia
HBD Juan Mata1988 - Juan Mata anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Real Madrid, Valencia, Chelsea na Man Utd.
Pia huchezea timu ya taifa ya Hispania ambapo tayari ameshinda Kombe la Dunia na Kombe la mataifa ya Ulaya.
1975 - Jenerali Cao Van Vien ambaye alikuwa Mkuu wa Jeshi la Vietnam Kusini anakimbilia Uhamishoni nchini Marekani mara baada ya Majeshi ya Vietnam ya Kaskazini yakisaidiwa na Urusi na China kukaribia kupata ushindi katika Vita ya Vietnam.
HBD Zoran Tosic1987 - Zoran Tosic anazaliwa.
Winga wa zamani wa Man Utd na sasa anakipiga CSKA Moscow.
Alichemsha vibaya enzi akiwa Man Utd.
Ndio mkuu. Marekani akakimbia na kukubali yaishe.
Mkuu baada ya Kaskazini kushinda vita wakaimeza Kusini na kuwa Vietnam moja tunaoiona leo?![]()
....