Makapuku Forum

Makapuku Forum

UNAWEZA KUAMUA KUENDELEA MBELE

Vipo vitu vingi katika maisha tukivikumbuka kwa kweli vinatosha kutuweka chini .Mengi yanatokea katika maisha,kupoteza na kupata,kuachwa ,kufiwa na wapendwa wazazi,ndugu,jamaa,marafiki,mume au mke,kutukanwa,kutukuzwa,kusalitiwa,kuumizwa ,kufukuzwa,kupata magonjwa yasiyo na dawa,kuuguliwa na wapendwa wetu,kukata tamaa,kukosa watoto,lolote laweza kutokea.

SASA,shida sio hayo kutokea,shida yanapotokea tunafanya nini?

Kutokea yanaweza kutokea at some point as long as tunaishi.

Sasa kile mtu anafanya baada ya kukutana na hayo yote ndio inaleta utofauti kati ya mtu na mtu.

Ni MWIKO na KASHFA ndani ya UFALME WA MUNGU kwa mtu anayeitwa MWANA WA MUNGU kushindwa kuendelea mbele sababu ya mazito yaliyowahi kutokea in the past.

Mwingine umepoteza mtu muhimu,wale uliokua unawategemea wameghairi kukupa msaada stahili waliokuahidi,umepata ugonjwa ambao madaktari wamesema hauna tiba,umetukanwa na uliowasaidia.

SIKIA tunapokuwa tumempokea YESU,biblia inasema tunakua tumepokea HAKI ya kufanyika WANA WA MUNGU YOHANA 1:12

1YOH.5:6. INASEMA KILA KILICHOZALIWA NA MUNGU HUUSHINDA ULIMWENGU,HUO ULIMWENGU NDIO HAYA YOTE TUNAYOKUTANA NAYO HUKU DUNIANI

SIKIA,tayari una nguvu ya kushinda ndani yako.

STEP ON THEM ,MOVE FORWARD

MENGINE SI MAKOSA YAKO KUWA YAMETOKEA WALA HUKUFANYA MAOMBI YAKUKUTE HAMNA HAJA YA KUJUTA MPAKA UNASHINDWA KUFANYA MAMBO YA MSINGI.

AMUA LEO KUACHA YALIYOPITA YAWE YAMEPITA,ENDELEA MBELE .MBELE KUNA MEMA ZAIDI.

MUNGU ATUSAIDIE SANA MBARIKIWE

BABA,ni siku mpya tunaomba uwe nasi,tuepushe na hatari za mwili na roho,nyoosha mapito yetu,tukutafute kwa bidii tusimamie tusiangamie,bariki kazi za mikono yetu,mapenzi yako yatimizwe Amen

UNAWEZA KUAMUA KUENDELEA MBELE

Vipo vitu vingi katika maisha tukivikumbuka kwa kweli vinatosha kutuweka chini .Mengi yanatokea katika maisha,kupoteza na kupata,kuachwa ,kufiwa na wapendwa wazazi,ndugu,jamaa,marafiki,mume au mke,kutukanwa,kutukuzwa,kusalitiwa,kuumizwa ,kufukuzwa,kupata magonjwa yasiyo na dawa,kuuguliwa na wapendwa wetu,kukata tamaa,kukosa watoto,lolote laweza kutokea.

SASA,shida sio hayo kutokea,shida yanapotokea tunafanya nini?

Kutokea yanaweza kutokea at some point as long as tunaishi.

Sasa kile mtu anafanya baada ya kukutana na hayo yote ndio inaleta utofauti kati ya mtu na mtu.

Ni MWIKO na KASHFA ndani ya UFALME WA MUNGU kwa mtu anayeitwa MWANA WA MUNGU kushindwa kuendelea mbele sababu ya mazito yaliyowahi kutokea in the past.

Mwingine umepoteza mtu muhimu,wale uliokua unawategemea wameghairi kukupa msaafa stahili waliokuahidi,umepata ugonjwa ambao madaktari wamesema hauna tiba,umetukanwa na uliowasaidia.

SIKIA tunapokuwa tumempokea YESU,biblia inasema tunakua tumepokea HAKI ya kufanyika WANA WA MUNGU YOHANA 1:12

1YOH.5:6. INASEMA KILA KILICHOZALIWA NA MUNGU HUUSHINDA ULIMWENGU,HUO ULIMWENGU NDIO HAYA YOTE TUNAYOKUTANA NAYO HUKU DUNIANI

SIKIA,tayari una nguvu ya kushinda ndani yako.

STEP ON THEM ,MOVE FORWARD

MENGINE SI MAKOSA YAKO KUWA YAMETOKEA WALA HUKUFANYA MAOMBI YAKUKUTE HAMNA HAJA YA KUJUTA MPAKA UNASHINDWA KUFANYA MAMBO YA MSINGI.

AMUA LEO KUACHA YALIYOPITA YAWE YAMEPITA,ENDELEA MBELE .MBELE KUNA MEMA ZAIDI.

MUNGU ATUSAIDIE SANA MBARIKIWE

BABA,ni siku mpya tunaomba uwe nasi,tuepushe na hatari za mwili na roho,nyoosha mapito yetu,tukutafute kwa bidii tusimamie tusiangamie,bariki kazi za mikono yetu,mapenzi yako yatimizwe Amen

Amen,Asante kwa neno zuri mama mtumishi
 
c86a0152b6cc61b1da4f307690135fea.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom