Makapuku Forum

Makapuku Forum

JINSI GANI KIJANA AISAFISHE NJIA YAKE?
ZABURI 119

9 Jinsi gani kijana aisafishe njia yake?kwa kutii akilifuata neno lako.
Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.

10 Kwa moyo wangu wote nimekutafuta.Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.

11 Moyoni mwako nimeliweka neno lako,Nisije nikakutenda dhambi.

12 Ee BWANA,umehimidiwa ,unifundishe njia zako,unifundishe amri zako.

Mungu wetu ni wa Upendo na hapendi tupotee,yupo tayari kutuongoza siku zote za maisha yetu na yupo tayari kusikiliza mahitaji yetu na mawazo yetu,hapendi tupotee wala kuishi maisha yasiyo na malengo na yasiyompendeza.
TUNAPASWA:
Kutii sauti yake.
Kufuata neno lake
Kumfuata kwa moyo wote
Kushika mafundisho ya amri zake

NAYE HATATUACHA TUPOTEE MBALI NA MAAGIZO YAKE

MIOYONI MWETU TULIWEKE NENO LA MUNGU TUSIJE TUKATENDA DHAMBI TUANGAMIE

Bwana Yesu wewe ni mkombozi wetu milele,Tunakushukuru wewe husinzii wala hulali na umetulinda mpaka asubuhi ya leo.

Fungua macho yetu tuweze kuona wema huu na upendo huu mkubwa na pia tufungue tuone baraka zote ulizotuandalia siku ya leo,kwa upendo wa marafiki wote mahali hapa watatufanya tujisikie vizuri.
Nakushukuru sana Mungu kwa nafasi hii ya kuhudumia marafiki na wapendwa wetu mahali hapa,nakuheshimu sana Mungu wangu.bila wewe hatuwezi chochote. ...nayaweza yote kupitia wewe Mungu unitiaye nguvu.

Tubariki siku ya leo safarini,ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wenye dhiki,nyoosha mkono wako katika mapito yote na utuongoze kukupenda ,kukutii,kulifuata neno lako na kukutafuta kwa bidii.

Asante Baba maana utatenda sawa na mapenzi yako

Tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu Amen

MBARIKIWE
 
Asante mama mtumishi kwa neno zuri
 
f21cfde5f4e2d382d8ecc24acef8c3a9.jpg
645250428ec00e7919df6f009e5fdcec.jpg
Ndio maana akawa haonekani kwenye sherehe za muungano
Akapigika kwa maradhi huko kizuizini hadi kuamua kuandika wosia asizikwe kuserikali japo alikuwa Rais mstaafu alisingizia tu ucha mungu
Hakufunikwa hata na kavendera ka CCN
....
R.I.P Aboud Jumbe...Raisi JPM amemtaja sasa hv kuwa aliutunza muungano..na kusema Muungano ndio jembe letu,ushindi wetu..atakayejaribu kuuvunja Muungano ATAVUNJIKA YEYE
 
JINSI GANI KIJANA AISAFISHE NJIA YAKE?
ZABURI 119

9 Jinsi gani kijana aisafishe njia yake?kwa kutii akilifuata neno lako.
Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.

10 Kwa moyo wangu wote nimekutafuta.Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.

11 Moyoni mwako nimeliweka neno lako,Nisije nikakutenda dhambi.

12 Ee BWANA,umehimidiwa ,unifundishe njia zako,unifundishe amri zako.

Mungu wetu ni wa Upendo na hapendi tupotee,yupo tayari kutuongoza siku zote za maisha yetu na yupo tayari kusikiliza mahitaji yetu na mawazo yetu,hapendi tupotee wala kuishi maisha yasiyo na malengo na yasiyompendeza.
TUNAPASWA:
Kutii sauti yake.
Kufuata neno lake
Kumfuata kwa moyo wote
Kushika mafundisho ya amri zake

NAYE HATATUACHA TUPOTEE MBALI NA MAAGIZO YAKE

MIOYONI MWETU TULIWEKE NENO LA MUNGU TUSIJE TUKATENDA DHAMBI TUANGAMIE

Bwana Yesu wewe ni mkombozi wetu milele,Tunakushukuru wewe husinzii wala hulali na umetulinda mpaka asubuhi ya leo.

Fungua macho yetu tuweze kuona wema huu na upendo huu mkubwa na pia tufungue tuone baraka zote ulizotuandalia siku ya leo,kwa upendo wa marafiki wote mahali hapa watatufanya tujisikie vizuri.
Nakushukuru sana Mungu kwa nafasi hii ya kuhudumia marafiki na wapendwa wetu mahali hapa,nakuheshimu sana Mungu wangu.bila wewe hatuwezi chochote. ...nayaweza yote kupitia wewe Mungu unitiaye nguvu.

Tubariki siku ya leo safarini,ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wenye dhiki,nyoosha mkono wako katika mapito yote na utuongoze kukupenda ,kukutii,kulifuata neno lako na kukutafuta kwa bidii.

Asante Baba maana utatenda sawa na mapenzi yako

Tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu Amen

MBARIKIWE
Ameni ubarikiwe
 
Amen! mama mchungaji
 
shukrani mama mchuchu ubarikiwe na ww
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom