shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ila simba na yanga walivunjiana mwiko kipindi cha Deo NjoholeNdio maana hadi leo Torres haipendi Real Madrid.
Ila simba na yanga walivunjiana mwiko kipindi cha Deo NjoholeNdio maana hadi leo Torres haipendi Real Madrid.
Inaaminika Viongozi wababe wote duniani huwa lazma wawe na kikosi cja siri kwa ajili ya kuwashughulikia wale wakosoaji.
Aisee hadi dikteta anawajibishwa?Watu waliandamana nchi nzima, akakubali yaishe.
Lee empire ananipotosha sanaNi Jet Li na sio Jet Lee kama ambavyo tumezoea kumuita.
Uko poa mkuu!Morning Quigley
Ndio maana yakeKwa hiyo tuchanganye na za kwetu! Nimekupata mkuu.
HapanaTISS
Hakika mkuu![]()
![]()
Hii ya mwisho alimshirikisha Aaliyah miezi/miaka michache kabla ya kifo chake![]()
Ni movie bomba hasa unapoangalia kazi ya mwisho ya kisanaa ya mtu
.......
NitajieHapana
Nipo poa kabisa mkuuUko poa mkuu!
1970 - Melania Trump anazaliwa.
Ni mke wa Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump.
Muungano umewachosha kwa kiasi kikubwa sana Wazanzibar.
Wazanzibar wanaonekana kuuchoka muungano ...ila wananufaika sana na muungano kanchi kenyewe kadogo km mkoa mmoja tu![]()
![]()
Hapa ni sherehe za mwaka 1983
Huyo wa nyuma ni Jenerali David Musuguri nimewahi kumuelezea jinsi alivyoongoza mapambano vita ya Kagera
Miaka miwili baadaye Mwalimu Nyerere aliachia madaraka kwa hiyari
....
Ila simba na yanga walivunjiana mwiko kipindi cha Deo Njohole
OkAsante Mussolin na Bitoz kwa picha mbarikiwe sana
TISS ni shirika la kijasusi la TanzaniaNitajie
Watakishughulikia hivyo hivyo.Ni kidume hicho
bomba ya movie![]()
![]()
Hii ya mwisho alimshirikisha Aaliyah miezi/miaka michache kabla ya kifo chake![]()
Ni movie bomba hasa unapoangalia kazi ya mwisho ya kisanaa ya mtu
.......
Hata mimi nimeshangaa
Nadhani aliumwa au alipooza hivyo kupelekea kuachia ngazi.
Ndiyo huyo sasa
Hakuna dikteta anayeondoka kirahisirahisiWatu waliandamana nchi nzima, akakubali yaishe.
Umenikumbusha ukoo wa akina Njohole, kuna Deo Njohole, Nico Njohole na nani mwingine?Ila simba na yanga walivunjiana mwiko kipindi cha Deo Njohole
Method Mogella fundi.Zamoyoni Mogella, Methord Mogella, Godwin Aswile Mrimba......