Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Rafiki huku ndo huwa mnatongozana hivi eeeh?!Ameen dear![]()
Rafiki huku ndo huwa mnatongozana hivi eeeh?!Ameen dear![]()
Mna wenzenu?.......Kwani cha mtu huwa hakiliwi???huku hakuna wifi wote wanaume sisi tulipo tuna wenzetu



Rafiki nina mume humu ujue hivyo ni kutongozana kweliRafiki huku ndo huwa mnatongozana hivi eeeh?!
cha mtu hakiliwi kinaliwa na mwenyeweMna wenzenu?.......Kwani cha mtu huwa hakiliwi???![]()
AsanteSalama
Jambo jema sanaNipo poa kabisa mkuu
Sharti la kukila ni kuhakikisha umebadilisha umiliki... Ha ha ha ha.cha mtu hakiliwi kinaliwa na mwenyewe
shukrani mkuu, Gotze, schlure na Larsen sikuwataja coz hao msimu wao ndio umeshaisha hivo, hawaji kucheza tena msimu huu na club isha-confirm kabisa, sahin na bartra majeruhi yao wameyapata hivi karibuni na kuna uwezekano tukawaona tena kabla ya msimu kuisha.
Sharti la kukila ni kuhakikisha umebadilisha umiliki... Ha ha ha ha. Wizi haufai.cha mtu hakiliwi kinaliwa na mwenyewe
cha mtu hakiliwi kinaliwa na mwenyewe
MmhSharti la kukila ni kuhakikisha umebadilisha umiliki... Ha ha ha ha. Wizi haufai.
Usigune Shunie.... Neno la bwana hilo.
nashkuru mzee wa kungoa kwa somo la bwana ubarikiweUsigune Shunie.... Neno la bwana hilo.
Na wewe ubarikiwe sana sana.nashkuru mzee wa kungoa kwa somo la bwana ubarikiwe
hayo yanatumika??? matumizi gani??Tongotongo la Asubuhi![]()
![]()
Lake Hillier
Ndio Ziwa lenye maji ya rangi ya pink
Kamwe maji yake hayajawahi kubadilika rangi pia Wanasayansi wamejaribu kugundua chanzo cha hayo maji kuwa ya pink lakini bado hadi leo hawajui
Linapatikana Magharibi mwa nchi ya Australia
Asubuhi njema
...........
shikamooo!nashkuru mzee wa kungoa kwa somo la bwana ubarikiwe