Makapuku Forum

Makapuku Forum

shululu

Sikiza gitaa la mkongwe bill withers katika Lovely Day, and Happy birthday to you buddy



6474e0c7cba6530eb920f41c7fa9d4fc_happy-birthday-images-free-happy-birthday-clipart-funny_1600-653.jpeg

 
Baada ya kutolewa kwenye uefa na Monaco na kushindwa kwenye BL hii ndio inabaki chance pekee kwa kocha Thomas Tuchel kushinda kombe msimu huu. Baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya gladbach jumamosi iliyopita leo bvb watakutana na Bayern kwenye DFB pokal.

ukiachana na bartra na sahin hakuna majeruhi wengine wowote kwa upande wa dortmund, pia kuna habari kwamba sokratis kasafiri na timu na amekua akifanya mazoezi kwa siku tatu, upande wa Bayern kuna tetesi kwamba alaba anaweza asicheze na nafasi yake kuchukuliwa na Bernat.

Boateng na Hummels wamepona hivo leo watacheza,

Douglas costa hajawa na msimu mzuri toka kuondoka kwa gurdiola, hivo tutegemee kuwaona Robben na Ribery wakianza.
a810048ad9f25d1cb275bb25de3e88d9.jpg
 
9e462bbe699e437a924534b605efdba7.jpg
Unawea kuogelea km ww ni mzoefu maana ukiwa ndaani ya maji kuona itakuwa shida
ffe501e41ef7cf6f4d8fcb099b3c9488.jpg

Pia samaki wanaonekagna wapo

Hayo Maziwa ya pink yapo pia sehemu zingine duniani ila hilo rangi yake ni permanent hata ukiyachota

Mfano
Ziwa pink la Senegal lina kiwango kikubwa cha chumvi pengine kuizidi bahari hivyo kusababisha vitu kuelea kwa urahisi.. lita moja ya maji ina kiwango cha chumvi gramu 380 na shughuli kuu ni uvuvi na kuchimba chumvi
.........
Aiseee
 
9e462bbe699e437a924534b605efdba7.jpg
Unawea kuogelea km ww ni mzoefu maana ukiwa ndani ya maji kuona itakuwa shida hivyo siyo ziwa la kibwegebwege
ffe501e41ef7cf6f4d8fcb099b3c9488.jpg

Pia samaki wanaonekagna wapo

Hayo Maziwa ya pink yapo pia sehemu zingine duniani ila hilo rangi yake ni permanent hata ukiyachota

Mfano
Ziwa pink la Senegal lina kiwango kikubwa cha chumvi pengine kuizidi bahari hivyo kusababisha vitu kuelea kwa urahisi.. lita moja ya maji ina kiwango cha chumvi gramu 380 na shughuli kuu ni uvuvi na kuchimba chumvi
.........
Aisee inashangaza sana hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom