Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,440
- 11,003
hahahah!shukrani mama mchuchu ubarikiwe na ww
mama mchuchu tena!
hahahah!shukrani mama mchuchu ubarikiwe na ww
teh teh teh! Hiyo avatar itajamponza, nilitaka nimpe offer ya Muungano.
HaleluyaaaAsante tumshukuru muumba
Salama kaka za uzimaMmeamkeje makamanada wa humu ndani
Tuko pamojashukrani mkuu, Gotze, schlure na Larsen sikuwataja coz hao msimu wao ndio umeshaisha hivo, hawaji kucheza tena msimu huu na club isha-confirm kabisa, sahin na bartra majeruhi yao wameyapata hivi karibuni na kuna uwezekano tukawaona tena kabla ya msimu kuisha.
Huyo mdada bila shaka anashiriki Yoga classHii ndiyo sifa ya ma gentlemen.
Amen dear[emoji120]shukrani mama mchuchu ubarikiwe na ww
Karibu Baba ParokoAmen! mama mchungaji
Hahahaaaaaaa"NA YEYOTE ATAKAYEJARIBU KUVUNJA MUUNGANO ATAVUNJIKA YEYE,MIMI NA DR.SHEIN TUNAULINDA KWA NGUVU ZETU ZOTE"
ndio muda huu wa kwenda zanziber kuchua hao mademu
Huyu jamaa aiseeanakuambia kuulinda muungano ni kazi ngumu sana, kuna wengine wameshindwa hata kuzilinda ndoa zao[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Amen Amen good afternoon ubarikiwe sana[emoji120]My morning was good, good after noon to you
Amen [emoji120] [emoji120] [emoji120]JINSI GANI KIJANA AISAFISHE NJIA YAKE?
[emoji524] ZABURI 119
9 Jinsi gani kijana aisafishe njia yake?kwa kutii akilifuata neno lako.
Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.
10 Kwa moyo wangu wote nimekutafuta.Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.
11 Moyoni mwako nimeliweka neno lako,Nisije nikakutenda dhambi.
12 Ee BWANA,umehimidiwa ,unifundishe njia zako,unifundishe amri zako.
[emoji523] Mungu wetu ni wa Upendo na hapendi tupotee,yupo tayari kutuongoza siku zote za maisha yetu na yupo tayari kusikiliza mahitaji yetu na mawazo yetu,hapendi tupotee wala kuishi maisha yasiyo na malengo na yasiyompendeza.
TUNAPASWA:
[emoji324] Kutii sauti yake.
[emoji324] Kufuata neno lake
[emoji324] Kumfuata kwa moyo wote
[emoji324] Kushika mafundisho ya amri zake
NAYE HATATUACHA TUPOTEE MBALI NA MAAGIZO YAKE
[emoji274] MIOYONI MWETU TULIWEKE NENO LA MUNGU TUSIJE TUKATENDA DHAMBI TUANGAMIE[emoji120]
Bwana Yesu wewe ni mkombozi wetu milele,Tunakushukuru wewe husinzii wala hulali na umetulinda mpaka asubuhi ya leo.
Fungua macho yetu tuweze kuona wema huu na upendo huu mkubwa na pia tufungue tuone baraka zote ulizotuandalia siku ya leo,kwa upendo wa marafiki wote mahali hapa watatufanya tujisikie vizuri.
Nakushukuru sana Mungu kwa nafasi hii ya kuhudumia marafiki na wapendwa wetu mahali hapa,nakuheshimu sana Mungu wangu.bila wewe hatuwezi chochote. ...nayaweza yote kupitia wewe Mungu unitiaye nguvu.
Tubariki siku ya leo safarini,ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wenye dhiki,nyoosha mkono wako katika mapito yote na utuongoze kukupenda ,kukutii,kulifuata neno lako na kukutafuta kwa bidii.
Asante Baba maana utatenda sawa na mapenzi yako
Tunaomba na kushukuru katika jina la Yesu Amen
MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Karibu kaka [emoji120]Ameni ubarikiwe
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]anakuambia kuulinda muungano ni kazi ngumu sana, kuna wengine wameshindwa hata kuzilinda ndoa zao[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mhhhhhmhhhhhtakiiiiiii shika yako
Huyo ni wa kuchovyaKaribu Baba Paroko
mzima, mambo vipiMzima mkuu
AmenHaleluyaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Karibu Baba Paroko