Makapuku Forum

Makapuku Forum

Spain LaLiga
f19afc98294f72148bca5feb19a73b0a.jpg
Asante Nyagei kwa taarifa za michezo na ratiba ubarikiwe
 
Mpaka hapo Sina la ziada kwenye magazeti kwa udhamini mnono wa shemela shunie, Nawatakieni asubuhi njema na sherehe njema za muunngano

Pia leo ndiyo nazaliwa
Asante kwa magazeti mkuu Shululu

Hongera sana kwa siku yako kubwa ya kumbukumbu ya kuzaliwa.

Namwomba Mungu akupe maisha marefu,hekima,furaha.

Akupe haja ya moyo wako

Ufanikiwe katika kila hatua ya maisha yako.

Mungu awe nawe daima .

UBARIKIWE
[emoji490] [emoji490] [emoji513] [emoji513] [emoji490] [emoji490] [emoji525] [emoji489] [emoji489] [emoji480]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kweli kabisa mkuu tumtafute huyo shurkan wa zanzibar atupe ma point ya kuwateka
Haswaa

Yule jamaa alianza mapema kula mema ya muungano wazee wakaingilia.

Itakuwa kuna vitu alifanya sio bure mpaka mtoto aamue kujitosa afe kuliko kumkosa mtu wa bara.

Hivyo yule jamaa ana umuhimu sana kwenye harakati hii
 
Tongotongo la Asubuhi
e3ab0894c90406fbe44cd9c284fac4d5.jpg
f4a3b6774e30dbf9bbadda727fa4dec7.jpg

Lake Hillier
Ndio Ziwa lenye maji ya rangi ya pink
Kamwe maji yake hayajawahi kubadilika rangi pia Wanasayansi wamejaribu kugundua chanzo cha hayo maji kuwa ya pink lakini bado hadi leo hawajui
Linapatikana Magharibi mwa nchi ya Australia

Asubuhi njema
...........
Mambo ya Mungu ,siyo ya mwanadamu[emoji120]
 
Asante kwa magazeti mkuu Shululu

Hongera sana kwa siku yako kubwa ya kumbukumbu ya kuzaliwa.

Namwomba Mungu akupe maisha marefu,hekima,furaha.

Akupe haja ya moyo wako

Ufanikiwe katika kila hatua ya maisha yako.

Mungu awe nawe daima .

UBARIKIWE
[emoji490] [emoji490] [emoji513] [emoji513] [emoji490] [emoji490] [emoji525] [emoji489] [emoji489] [emoji480]

Kwa wishes hii

Ushindwe wewe kupokea baraka kede kede
 
Back
Top Bottom