Makapuku Forum

Makapuku Forum

Muungano umewachosha kwa kiasi kikubwa sana Wazanzibar.

Hata hayati Abeid Karume aliwahi kusema Muungano ni kama koti hivyo likikubana huna budi kulivua.

Maneno hayo ya kejeli ya Karume kwa Nyerere yalimchafua mno Nyerere na wawili hao hawakuwa na uhusiano mzuri katika siku za mwisho za maisha ya Karume.

Pia Rais wa awamu ya pili ya Zanzibar, ndugu Aboud Jumbe Mwinyi alipohoji kuhusu muundo wa Muungano na kujaribu kuandaa hati za mashtaka kwaajili ya kuuvunja Muungano alijikuta akilazimishwa kujiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya chama na serikali na alipojiuzulu tu 1984 akawekwa kizuizini nyumbani kwake Kigamboni mpaka alipofariki mwaka jana.
f21cfde5f4e2d382d8ecc24acef8c3a9.jpg
645250428ec00e7919df6f009e5fdcec.jpg
Ndio maana akawa haonekani kwenye sherehe za muungano
Akapigika kwa maradhi huko kizuizini hadi kuamua kuandika wosia asizikwe kuserikali japo alikuwa Rais mstaafu alisingizia tu ucha mungu
Hakufunikwa hata na kavendera ka CCN
....
 
Wala hakuwa anatajwa mchango wake katika Taifa hili. Ni kama ambavyo Watawala wamepoteza mchango wa Oscar Kambona katika historia ya nchi hii.

Bila Aboud Jumbe pengine leo hii isingekuwepo CCM.

Yeye alikubali kuunganisha chama chake cha ASP cha Zanzibar na TANU cha Tanganyika na kuzaliwa kwa CCM.

Kitu ambacho kilikuwa sio rahisi chini ya utawala wa Karume.
 
Mkuu tumegee kidogo kisa cha Oscar Kambona kususwa
.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom