Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
1963 - Jet Li anazaliwa.
Staa wa filamu za mapigano kutoka China.
Staa wa filamu za mapigano kutoka China.
Hata mimi nimeshangaa
Sijawahi kuona diktekta anaachia madaraka kirahisi hivyo![]()
.....
Happy birthday to Jet lee1963 - Jet Li anazaliwa.
Staa wa filamu za mapigano kutoka China.
Morning QuigleyMorning family
Happy birthday to first lady1970 - Melania Trump anazaliwa.
Ni mke wa Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump.
Ndiyo huyo sasa
Sijawahi kuona diktekta anaachia madaraka kirahisi hivyo![]()
.....
Mwana mitindo1970 - Melania Trump anazaliwa.
Ni mke wa Rais wa sasa wa Marekani, Donald Trump.
Ahsante sana mkuu Mussolin5 kwa historiaLEO KATIKA HISTORIA:
Niwatakie siku njema.
Inaaminika Viongozi wababe wote duniani huwa lazma wawe na kikosi cja siri kwa ajili ya kuwashughulikia wale wakosoaji.
Sizonje hana?![]()
.....
Asante kwa leo katika historia mkuu musollinLEO KATIKA HISTORIA:
Niwatakie siku njema.
Happy birthday Jet Li1963 - Jet Li anazaliwa.
Staa wa filamu za mapigano kutoka China.
1964 - Tanganyika na Zanzibar zaungana na kutengeneza nchi ya Tanzania.
Waasisi wa wa Muungano huo ni JK Nyerere kwa pande wa Tanganyika na Abeid Amnai Karume kwa upande wa Zanzibar.
Ndio maana hadi leo Torres haipendi Real Madrid.![]()
![]()
wao na Real ni Man City na United
Hawapatani na ukihamia upande wapili ni usaliti
....
Watu waliandamana nchi nzima, akakubali yaishe.
Sijawahi kuona diktekta anaachia madaraka kirahisi hivyo![]()
.....
Asante Mussolin na Bitoz kwa picha mbarikiwe sanaLEO KATIKA HISTORIA:
Niwatakie siku njema.
Ni Jet Li na sio Jet Lee kama ambavyo tumezoea kumuita.Happy birthday to Jet lee
Nduguye lee empire
TISSInaaminika Viongozi wababe wote duniani huwa lazma wawe na kikosi cja siri kwa ajili ya kuwashughulikia wale wakosoaji.
1963 - Jet Li anazaliwa.
Staa wa filamu za mapigano kutoka China.