Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Leo Katika Historia:
1865 - John Wilkes Booth anauwawa.
Alikuwa ni muuaji wa Rais Abraham Lincoln wa Marekani.
.....
Leo Katika Historia:
1865 - John Wilkes Booth anauwawa.
Alikuwa ni muuaji wa Rais Abraham Lincoln wa Marekani.
Sasa kama huku hakuna mbona dada zangu wote wameibiwa huku na siyo kule MMU?🙂🙂🙂khaaa hakuna huku kila mtu ana mwenyewe katafute mmu rafiki
Upo wapi bibie aganzaLeo naomba wasikate umeme niangalie maadhimisho ya muungano maana napendaga sana
Asante Nyagei

Zipo kongwe zaidi yakeAisee kitambo sana
Hakika kaka mkubwaPamoja wakuu
Najua nimewatoa tongotongo za asubuhi
![]()
![]()
![]()
.......
Sawa mkuupamoja sana mkuu, nimeenda juu juu nipo naangalia maazimisho hapa
1903 - Klabu ya soka ya Atlerico Madrid yanzishwa.
hahaha rafiki umeanza na ushilawadu wako eb tuacheSasa kama huku hakuna mbona dada zangu wote wameibiwa huku na siyo kule MMU?🙂🙂🙂
Aisee leo nimeifumania, Asante NyageiHongera 174k
Baada ya kutolewa kwenye uefa na Monaco na kushindwa kwenye BL hii ndio inabaki chance pekee kwa kocha Thomas Tuchel kushinda kombe msimu huu. Baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya gladbach jumamosi iliyopita leo bvb watakutana na Bayern kwenye DFB pokal.
ukiachana na bartra na sahin hakuna majeruhi wengine wowote kwa upande wa dortmund, pia kuna habari kwamba sokratis kasafiri na timu na amekua akifanya mazoezi kwa siku tatu, upande wa Bayern kuna tetesi kwamba alaba anaweza asicheze na nafasi yake kuchukuliwa na Bernat.
Boateng na Hummels wamepona hivo leo watacheza,
Douglas costa hajawa na msimu mzuri toka kuondoka kwa gurdiola, hivo tutegemee kuwaona Robben na Ribery wakianza.
![]()
Wametuachia msala1964 - Tanganyika na Zanzibar zaungana na kutengeneza nchi ya Tanzania.
Waasisi wa wa Muungano huo ni JK Nyerere kwa pande wa Tanganyika na Abeid Amnai Karume kwa upande wa Zanzibar.
Kama ilivyokuwa kwa Tevez![]()
![]()
wao na Real ni Man City na United
Hawapatani na ukihamia upande wapili ni usaliti
....
Shalom QUIGLEYMorning family
1960 - Rais na Dikteta wa Korea Kusini Syngman Rhee anajiuzulu wadhifa wake baada ya utawala wake wa miaka 12.
Yapo yanaendeleaNimemiss madini humu