Muungano umewachosha kwa kiasi kikubwa sana Wazanzibar.
Hata hayati Abeid Karume aliwahi kusema Muungano ni kama koti hivyo likikubana huna budi kulivua.
Maneno hayo ya kejeli ya Karume kwa Nyerere yalimchafua mno Nyerere na wawili hao hawakuwa na uhusiano mzuri katika siku za mwisho za maisha ya Karume.
Pia Rais wa awamu ya pili ya Zanzibar, ndugu Aboud Jumbe Mwinyi alipohoji kuhusu muundo wa Muungano na kujaribu kuandaa hati za mashtaka kwaajili ya kuuvunja Muungano alijikuta akilazimishwa kujiuzulu nyadhifa zake zote ndani ya chama na serikali na alipojiuzulu tu 1984 akawekwa kizuizini nyumbani kwake Kigamboni mpaka alipofariki mwaka jana.
Method Mogella fundi.
Gaggalino unamkumbuka?Method Mogella fundi.
OMG ujasusi wa namna ile tena hadharaniTISS ni shirika la kijasusi la Tanzania
Na sio kundi la siri la watesaji
Atakuja jioni kukujibuWatakishughulikia hivyo hivyo.
Wala hakuwa anatajwa mchango wake katika Taifa hili. Ni kama ambavyo Watawala wamepoteza mchango wa Oscar Kambona katika historia ya nchi hii.Ndio maana akawa haonekani kwenye sherehe za muungano
Akapigika kwa maradhi huko kizuizini hadi kuamua kuandika wosia asizikwe kuserikali japo alikuwa Rais mstaafu alisingizia tu ucha mungu
Hakufunikwa hata na kavendera ka CCN
....
Asante mkuu.Hiyo nyekundu ni nickname kwa kuwa ni mhitimu wa Arusha Technical College with FTC in Mechanical Engineering.
Kuna namna mbali na maandamanoHakuna dikteta anayeondoka kirahisirahisi
Kumbe maji yalizidi unga
....
Namshukuru Mungu pia kwa hilo, Mungu aendelee kukutunza na kukulinda.namshkuru Mungu mm mzima sana fakalava
Mkuu tumegee kidogo kisa cha Oscar Kambona kususwaWala hakuwa anatajwa mchango wake katika Taifa hili. Ni kama ambavyo Watawala wamepoteza mchango wa Oscar Kambona katika historia ya nchi hii.
Bila Aboud Jumbe pengine leo hii isingekuwepo CCM.
Yeye alikubali kuunganisha chama chake cha ASP cha Zanzibar na TANU cha Tanganyika na kuzaliwa kwa CCM.
Kitu ambacho kilikuwa sio rahisi chini ya utawala wa Karume.
Ameen dear [emoji120]Namshukuru Mungu pia kwa hilo, Mungu aendelee kukutunza na kukulinda.
teh teh teh! Hiyo avatar itajamponza, nilitaka nimpe offer ya Muungano.me huyo fakalava
Asante tumshukuru muumbaSalama kabisa mkuu
Hbr yako mkuuLeo naomba wasikate umeme niangalie maadhimisho ya muungano maana napendaga sana
Pamoja mkuuAsante mkuu Mndali
Mi nipo napiga gwaride la hapa kazi tuTupo poa kamanda, vip wewe
Nasikia huku ni kuzuri kuliko mmu kwa hiyo sina mpango wa kubanduka huku ng'oo ni mpaka kwanza nikupatie wifi![emoji4][emoji4][emoji4]hahaha rafiki umeanza na ushilawadu wako eb tuache
ushilawadu mpk kwa dada zako
huku hakuna wifi wote wanaume sisi tulipo tuna wenzetuNasikia huku ni kuzuri kuliko mmu kwa hiyo sina mpango wa kubanduka huku ng'oo mpaka nikupatie kwanza wifi![emoji4][emoji4][emoji4]
Habari yako dadanguAmeen dear [emoji120]
SalamaHbr yako mkuu