Makapuku Forum

Makapuku Forum

shululu

Sikiza gitaa la mkongwe bill withers katika Lovely Day, and Happy birthday to you buddy



6474e0c7cba6530eb920f41c7fa9d4fc_happy-birthday-images-free-happy-birthday-clipart-funny_1600-653.jpeg
 
Matokeo ya mechi za jana

Germany DFB POKAL
48dcc93c41d29863f4525ad156a60011.jpg
E Frankfurt atakutana na mshindi kati ya Bayern au Dortmund kwenye fainali


Hii ilikua ni mechi moja hatari mkuu, Frankfurt kwa mara ya kwanza anatinga fainali toka mwaka 2006, Frankfurt kama kawaida yao toka Valleja kaumia (karudishwa kwao madrid) imekua ikitumia mfumo wa mabeki watatu nyuma na viungo watano alafu mbele kunakua na watu wengine wawili 3-5-2, jana kwenye dakika ya 15 beki wao waliemsajili kwenye dirisha lilipita ambaye jana alicheza kama wing back ya kushoto Tawatha ndio alikua wa kwanza kufunga goli lakini hata kabla ya mapumziko Andres Hann akaisawazishia gladbach na matokeo kuwa 1-1, hadi mpira unaisha matokeo yakabaki hivo hivo.

wakaenda 120 lakini hoola matokeo yalikua hivo hivo, baadae wakaenda matuta, kama mnavojua matuta hayana mwenyewe baada ya kuenda penalty 6 bila kukosa hatimae mcjezaji wa chelsea alie kwa mkopo BMG Andreas Christensen alikosa penati ya saba, na Guillermo Vallera (beki ya Manchester united, yupo kwa mkopo Frankfurt) nae akakosa penalty ya saba hivo zikabaki ni 6-6, mwisho Djibri Sow ambae alitokea benchi kwa upande wa BMG akakosa wakati penalty ya mwisho kwa upande wa Frankfurt ilipigwa na Hrgota na matokeo kuwa ni penalty 6 kwa 7.
 
9e462bbe699e437a924534b605efdba7.jpg
Unawea kuogelea km ww ni mzoefu maana ukiwa ndaani ya maji kuona itakuwa shida
ffe501e41ef7cf6f4d8fcb099b3c9488.jpg

Pia samaki wanaonekagna wapo

Hayo Maziwa ya pink yapo pia sehemu zingine duniani ila hilo rangi yake ni permanent hata ukiyachota

Mfano
Ziwa pink la Senegal lina kiwango kikubwa cha chumvi pengine kuizidi bahari hivyo kusababisha vitu kuelea kwa urahisi.. lita moja ya maji ina kiwango cha chumvi gramu 380 na shughuli kuu ni uvuvi
.........
Dunia ina maajabu mengi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom