shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Ni shida, sijui imesababishwa na ninihuyo binti aliyeota maziwa 4 aisee
Ni shida, sijui imesababishwa na ninihuyo binti aliyeota maziwa 4 aisee
Salama kabisa mkuuMmeamkeje makamanada wa humu ndani
Asante NyageiHappy birthday shululu
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Aisee kitambo sana1903 - Klabu ya soka ya Atlerico Madrid yanzishwa.
khaaa hakuna huku kila mtu ana mwenyewe katafute mmu rafikiRafiki nataka nikutafutie wifi huku!!......Wapo wa kutosha kweli?
Asante sana shemela wanguasante shemela ubarikiwe sana
happy birthday shemela wangu Mungu azidi kukubariki kila siku iitwayo leo na uzidi kuishi miaka mingi
1933 - Gestapo yaanzishwa.
Lilikuwa ni jeshi la siri chini ya utawala wa Adolf Hitler.
Watu katili duniani ni hatari sana kuwa viongozi1933 - Gestapo yaanzishwa.
Lilikuwa ni jeshi la siri chini ya utawala wa Adolf Hitler.
ilikua ni mechi nzuri sana mkuu, niliangalia kupitia mobdro ESPN walirushaHii game nilishindwa kuiangalia kisa game ya Chelsea, baadaye ya atretico
Aisee inashangaza sana hii
Aiseee
Pamoja wakuuAmazing
Ukiua kwa upanga nawe utakufa kwa upangaLeo Katika Historia:
1865 - John Wilkes Booth anauwawa.
Alikuwa ni muuaji wa Rais Abraham Lincoln wa Marekani.
Hawezi kukosa
Sizonje hana?![]()
.....
Happy birthday Atletico Madrid1903 - Klabu ya soka ya Atlerico Madrid yanzishwa.
Dstv pia waliirushailikua ni mechi nzuri sana mkuu, niliangalia kupitia mobdro ESPN walirusha
Hakika aiseePamoja wakuu
Najua nimewatoa tongotongo za asubuhi
![]()
![]()
![]()
.......
Hongera 174kAsante bitoz, nitakuja kula kambale aisee
pamoja sana mkuu, nimeenda juu juu nipo naangalia maazimisho hapaShukrani kwa uchambuzi yakinifu mkuu le BvbSlash
zaidi ya tongotongoPamoja wakuu
Najua nimewatoa tongotongo za asubuhi
![]()
![]()
![]()
.......