Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Ziwa Nyasa kuna vidagaa vikubwakubwa vinaitwa usipa ni hatari wanakaangwa au kupikwa km waliDagaa wa kigoma watamujee
Wenyeji hupendelea zaidi kula kwa ndizi choma/mcgemsho/kukaanga
....
Ziwa Nyasa kuna vidagaa vikubwakubwa vinaitwa usipa ni hatari wanakaangwa au kupikwa km waliDagaa wa kigoma watamujee
miss u zaidi mama mchuchu wangu ubarikiwe sana na wwMarahaba dear mzima nakumisije we mpendwa wangu ,upo?ubarikiwe
Pole sananimeingia jioni hiii tu shemela flue tu imenibana
nawajua sema mm siwapendi sana kama wa kigomaZiwa Nyasa kuna vidagaa vikubwakubwa vinaitwa usipa ni hatari wanakaangwa au kupikwa km wali
Wenyeji hupendelea zaidi kula kwa ndizi choma/mcgemsho/kukaanga
....
SafiMambo zenu
Mhhhhhmhhhhh, nitajitahidi niwapate aiseeZiwa Nyasa kuna vidagaa vikubwakubwa vinaitwa usipa ni hatari wanakaangwa au kupikwa km wali
Wenyeji hupendelea zaidi kula kwa ndizi choma/mcgemsho/kukaanga
....
sante shemelaPole sana
unajua pep alivoanza man city ilikua inacheza mpira mzuri sana, baadae naona nae kaamua kuadopt butua butua kama timu zingine.Nani anabutua???.....wachezaji wake au wa timu pinzani?
Kweli?Unaambiwa kipofu ndotoni huwa anaona, ila anachokiona kinakuwa kwa muundo wa black and white.[/b]
Yah, ni kweli mama angu!!!!!!!!Kweli?
Kipenda rohonawajua sema mm siwapendi sana kama wa kigoma
Dah!!! Kweli asee, huyo mdudu angekuwa na mbawa Mbona tungekoma!!!![]()
Changamoto haziepukiki
Ingekuwa vipi km ....
......
Yeye mwenyewe kakiri EPL ni ngumu sanaunajua pep alivoanza man city ilikua inacheza mpira mzuri sana, baadae naona nae kaamua kuadopt butua butua kama timu zingine.
hahahhh ula nyama mbichiKipenda roho
Tembea uone mamboMhhhhhmhhhhh, nitajitahidi niwapate aisee
Nawakubali hao wa Kigoma ila usipa kwangu chaguo la kwanzanawajua sema mm siwapendi sana kama wa kigoma
Binafsi nakubaliana na wanaounga mkono Mesut Ozil kuondoka..... Ila pia binafsi naunga mkono wanaokubaliana na Alexis Sanchez kuongeza mkataba pale arsenal...... Ila nipo 50/50 na wanaomtaka babu Wenger abaki na wanaomtaka mzee Arsen atoke pale arsenal......
Adui mwombee njaa!Inawezekana ni maji tibapia7/Issyk Kul![]()
Linapatikana huko Kryrgystan
Linaitwa hivyo likiwa linamaainisha "Ziwa Moto/Hot Lake" maana maji yake kamwe hayagandi
Lina kina cha mita 668
.......
ThubutuAdui mwombee njaa!