Makapuku Forum

Makapuku Forum

9/Crater Lake
e941219207a07d5784300fbb33a1d147.jpg

Linapatikana huko Marekani katikajimbo la Oregon.ambako linajulikana km National Crater Lake
Halina mto unaomwaga maji kutokea huko wala kuelekea huko
Miaka mingi iliyopita lilikuwa linalipuka volkano
Lina kina cha mita 592
......
Amaizing
 
6/Lake Malawi
cdb30637b804ae07d530343c4dd431d5.jpg

Linazitenganisha Tanzania na Malawi huko Kyela Mbeya
Ukiwa upande wa Tanzania linaitwa Ziwa Nyasa halafu ukiwa Malawi linaitwa Ziwa Malawi
Ndio ziwa lenye samaki wa aina nyingi kuliko yote duniani...sasa usishangae kwanini linagombewa!!!
Nimebahatika kufika Ngonga na Matema Beach na kugundua lina mchanga wa punje kubwakubwa ambao unaunguza wakati wa juakali
Safu za Milima ya Livingstone zinaanzia/ishia huko
Lina kina cha mita 706

Umewahi kula usipa?
Wanapatikana huko...kwanini Wanyaki wasinenepe
........
 
3/Caspian Sea
f76f59e576d8d3212ab08bcce90c2046.jpg

Ndio ziwa kubwa zaidi duniani
Linapatikana kati ya nchi za Urusi,Kazakhstan. Azerbaijan,Turkmenistan na Iran
Watu wa kale walifikiri ni bahari sababu lina majichumvi
Lina kina cha mita 1025
........
 
2/Lake Tanganyika
7b80c3f474491973c3670094d22ba935.jpg
55ffdf8ed60fcfd23dfcb22772160b69.jpg
9ae1e0222c1dcb876ba0ed9abd8448ac.jpg

(picha nimezipiga mwenyewe wakati nikiwa Kigoma)

Ndio ziwa lenye kina kirefu zaidi barani Afrika
Kwa sehwmu kubwa linatenganisha nchi za DRC na Tanzania
Nafikiri kila mtu kawahi kula dagaa wa Kigoma
Lina mchanga laini
Lina kina cha mita 1470
........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom