Timu inapesa balaaArsenal na Wenger wao na ubahili wataweza kweli
Aisee nilikuwa sijui kitu kama hiki6/Lake Malawi![]()
Linazitenganisha Tanzania na Malawi huko Kyela Mbeya
Ukiwa upande wa Tanzania linaitwa Ziwa Nyasa halafu ukiwa Malawi linaitwa Ziwa Malawi
Ndio ziwa lenye samaki wa aina nyingi kuliko yote duniani...sasa usishangae kwanini linagombewa!!!
Nimebahatika kufika Ngonga na Matema Beach na kugundua lina mchanga wa punje kubwakubwa ambao unaunguza wakati wa juakali
Safu za Milima ya Livingstone zinaanzia/ishia huko
Lina kina cha mita 706
........
Mv liemba2/Lake Tanganyika![]()
![]()
![]()
(picha nimezipiga mwenyewe wakati nikiwa Kigoma)
Ndio ziwa lenye kina kirefu zaidi barani Afrika
Kwa sehwmu kubwa linatenganisha nchi za DRC na Tanzania
Nafikiri kila mtu kawahi kula dagaa wa Kigoma
Lina mchanga laini
Lina kina cha mita 1470
........
Asante mvuvi wa kambale1/Lake Baikal![]()
Ndio pia ziwa kubwa zaidi la majibaridi duniani
Linapatikaba huko milimani Urusi katika jimbo la Siberia karibu na mpaka wa Mongolia
Lina kina cha mita 1642
Ahsanteni kwa nami
Mwisho
...........

Maajabu hayawezi kuishaMungu na uumbaji wake![]()
HakikaDuniani kuna mambo magumu san q ni kuomba Mungu tu
Ziko byeeeehabari za jioni wandugu
Hapo cha kuzingatia ni ushauri wa Henry ndio ushauri bora kabisaBinafsi nakubaliana na wanaounga mkono Mesut Ozil kuondoka..... Ila pia binafsi naunga mkono wanaokubaliana na Alexis Sanchez kuongeza mkataba pale arsenal...... Ila nipo 50/50 na wanaomtaka babu Wenger abaki na wanaomtaka mzee Arsen atoke pale arsenal......
Pamoja sana mkuuAhsante kwa info mkuu![]()
![]()
![]()
Ndo umejuaAisee nilikuwa sijui kitu kama hiki
Nasikia bado ipo sijui ina miaka 100Mv liemba
Asante mvuvi wa kambale
Ziwa mabibo vip![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ngoja tuone,Sanchez na Ozil wanapoteza muda tu pale japo wapo fainali FA lakini babu Wenger atafanya upuuzi wake km kawa na vitoto chake na TO 4 kuingia kazi wanayo na wanaweza shika # 4 na wasicheze Champions League iwapo Man Utd atachukua Europa
.......
Pesa baba pesaHuyo mhindi mbona alikuwa katili kiasi hicho?
HahahaaaaaaaKabisaa pakukimbili![]()
![]()
HahahaaaaaaaPamoja sana mkuu
Ndo umejua
Nasikia bado ipo sijui ina miaka 100
![]()
Haka kaziwa labda kana futi 6 tu
![]()
![]()
![]()
.......
DuuuuuhUnaambiwa kipofu ndotoni huwa anaona, ila anachokiona kinakuwa kwa muundo wa black and white.[/b]
Asante kwa picha kutoka katika mkono wako mwenyewe!2/Lake Tanganyika![]()
![]()
![]()
(picha nimezipiga mwenyewe wakati nikiwa Kigoma)
Ndio ziwa lenye kina kirefu zaidi barani Afrika
Kwa sehwmu kubwa linatenganisha nchi za DRC na Tanzania
Nafikiri kila mtu kawahi kula dagaa wa Kigoma
Lina mchanga laini
Lina kina cha mita 1470
........
Shukrani kamanda Bitoz.1/Lake Baikal![]()
Ndio pia ziwa kubwa zaidi la majibaridi duniani
Linapatikaba huko milimani Urusi katika jimbo la Siberia karibu na mpaka wa Mongolia
Lina kina cha mita 1642
Ahsanteni kwa nami
Mwisho
...........